Mdada apigwa risasi na majambazi wa boxer Tabata Bima

Mdada apigwa risasi na majambazi wa boxer Tabata Bima

Hakuna mwizi yyeyote mwenye lengo la kuua labda atumwe kuua. Au uwe mbishi sana

hapa jirani kuna maduka wezi walikuja kuiba hawakufanikiwa pesa wakati wanatoka kaka mmoja alikuwa anatoka club na tax wakati anashuka kulipa tax wakamwambia leta pesa

kawa alikuwa na buku 5 na siku akawambia nina buku 5 tu ambayo ni nauri labda niwape sim

wakamwambia leta iyo 5 na simu akawapa . Hapo hapo hajatoka wezi wakamwambia dereva tax leta hela akasema hana wakamwambia shenzi leo hujatengeneza pesa? Wewe una sh ngap akasema hana wakamwambia ha buku 10 huna akasema ndio wakamwambia toa ubahili wakafyatua risasi moja kifuan walivyomcheki mfukoni kuna zaidi ya elfu 50 wakazichukua wakakimbia yule kaka yupo anashuhudia analia police wakafika kaka wa watu akatoa maelezo kwisha habari,

mwizi akikuomba pesa mpe kama unayo wala usibishane nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom