cdc
JF-Expert Member
- Nov 29, 2015
- 445
- 419
Mungu amfanyie wepesiDada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.
Mungu amfanyie wepesiDada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.
Kwani mkulu si alisema fanyeni kazi hata kutimba na bunduki na akasifu ney alivyoimba kuwa hata kuvamia na bunduki ni kaziMmh kwani msiba usipokuhusu lazima muingize siasa na maneno ya dhihaka!!?,sie watanzania tuna matatizo sana kiroporopo acheni hizo.
Duuuuh hii hatar juzi Jumatano walivamia palé Tabata barakuda kwenye duka la Tigo pasa leo tena bima mmmmh hii kwel balaaWizi wa majambazo wanaopora hela umeshamiri Sana Dar es salaa.Vibanda vya mpesa/tigo pesa wanaporwa kila siku.
Leo katika hali isiyo ya kawaida Dada mmoja ampigwa risasi na kuporwa hela zake saa 8 mchana maeneo ya Tabata bima.
Mdada tunamjua ni Ana kiduka chake tu cha mtaani na inasemekana alikuwa umetoka kuchukua hela segerea sheli(ATM)kiasi kidogo akanunue mchele wa kuuza dukani.dizaidi walikuwa wanamfuatilia.
Wezi wenye bastola na wakitumia boda boda kwa dar ishakuwa kero sasa..twafaaa.
Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya kusongea ugali?? Msijifanye mnaharamisha matumizi ya bastola wakati mnafurahia kutengenezwa kwake, anzeni kupiga vita utengenezwaji kwanza...Zero brain
Bastola imefanya kazi iliyotengenezewa kuifanya,
Wala msisikitike cuz hizo zimetengenezwa kwaajili hiyo, iwe aliyeuliwa ni mwema au ni mualifu as long as sote ni binadamu basi Hakuna tofauti.
Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya
Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili yaalafu ukifika nyumbani unakuta ni dada yako kapigwa risasi......rejea maneno yako apo juu, unaandika hayo maneno kwasababu haikuhusu
Hatar sana 1 milion ukiigawanya mara tano lakini bado wataifuata wakijua una kiasi hichoDah, inasikitisha. Sasa wale tunaochukulia hapo CRDB magengeni si watakuwa wanatufuatilia? Pesa yenyewe ni <1million.
Twafa mwaka huu.
kuna jamaa ameandika hajafariki yupo muhimbiliRIP dada...
Jf sikuhizi imejaa akili ndogo, Wale watu wanaopenda kupambwa na maneno wanayopenda kuyasikia, sasa ukiwaambia ukweli kama huo wanahisi umewakatili au wanakuona wa-ajabu,Shaaban Robert kanena katika Mapenzi Bora
Zinatengenezwa Silaha na sumu kwa ajili ya kuuana wenyewe.
Mola mkubwa!kuna jamaa ameandika hajafariki yupo muhimbili
Kazi kweli kweliNani alikwambia nipo hapa JF kwaajili ya kunyenyekea watu wanione Genius?
Nidhamu hiyo sina bro, na sishinikizwi mzee,
Sasa Ulidhani bastola ilitengenezwa kwaajili ya
kusongea ugali?? Msijifanye mnaharamisha
matumizi ya bastola wakati mnafurahia
kutengenezwa kwake, anzeni kupiga vita
utengenezwaji kwanza... Idiot
Yewomi ehh! Mola amtetee!Dada yupo hai..ila yupo muhimbili anatakiwa kutolewa risasi..maana amepigwa risasi Kama tatu.
HajafaRIP dada...
Wahuni tu hao wanaoweza kufyatua risasHao majambazi wajinga sana
Hawapo kiuchumi, hawajui when to fire , yani kwa mwanamke mmoja ndio wafungue usalama na kutundika risasi 3?
Wajinga sana, washachezea risasi
Job true trueKazi kweli kweli
Hao majambazi wajinga sana
Hawapo kiuchumi, hawajui when to fire , yani kwa mwanamke mmoja ndio wafungue usalama na kutundika risasi 3?
Wajinga sana, washachezea risasi