Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
kwa hiyo despline ya kazi ni kumsema tna personal Affairs mbele ya mteja??????? ipo kwenye sheria gani ya kazi na kifungu gani????
ungekuwa ww umeambiwa maneno kama yale ungefanyaje??

Natamani huyo angekuwa bos wangu mbona angeniheshimu maisha yake yote yaliyobaki hapa duniani
Jana nilitumwa na bosi wangu kwenda kuchukuwa document katika kampuni moja hivi. Nilipofika sikumkuta secretary, niliambiwa ameenda lunch. Nikamkuta kijana mmoja ambaye ni bosi wake na ndiye aliyekuwa anawasiliana na bosi wangu.
Yule kijana akampigia simu afahamu document zilipo. Yule dada akamwambia amezifungia kwenye kabati yake na ufungua anao yeye. Inaonyesha sehemu aliyoenda kupata lunch pana umbali kidogo.
Aliporudi yule kijana alimfokea sana, yule kaka akamaliza hasira zake kwa kumwambia kwa tabia zako ndio maana wanaume wa kukuoa wanakukimbia.Yule dada alianza kulia mpaka na mimi nusu nilie. Nikimwangalia hivi, umri wake waweza kuwa kati ya miaka 34-36.
Tuchunge ulimi ndugu zangu, maneno yanauma.
ungekuwa ww umeambiwa maneno kama yale ungefanyaje??
Una namba ya huyo dada?
kuolewa ni lazima sema wanawake wanashindwa timing
Jana nilitumwa na bosi wangu kwenda kuchukuwa document katika kampuni moja hivi. Nilipofika sikumkuta secretary, niliambiwa ameenda lunch. Nikamkuta kijana mmoja ambaye ni bosi wake na ndiye aliyekuwa anawasiliana na bosi wangu.
Yule kijana akampigia simu afahamu document zilipo. Yule dada akamwambia amezifungia kwenye kabati yake na ufungua anao yeye. Inaonyesha sehemu aliyoenda kupata lunch pana umbali kidogo.
Aliporudi yule kijana alimfokea sana, yule kaka akamaliza hasira zake kwa kumwambia kwa tabia zako ndio maana wanaume wa kukuoa wanakukimbia.Yule dada alianza kulia mpaka na mimi nusu nilie. Nikimwangalia hivi, umri wake waweza kuwa kati ya miaka 34-36.
Tuchunge ulimi ndugu zangu, maneno yanauma.
Na mimi akinichokoza mdada humu MMU nitasema "Ndo maana hujaolewa"
Duh nyie mabosi nyie! Mimi ni ombi langu kwa MUNGU kuwa kwa nafasi yangu Nataka 90% if not 100% plus nitakaowahudumia watoke wakiwa na furaha hata kama lile lililowaleta sina uwezo wa kulifanikisha!!!!
Jana nilitumwa na bosi wangu kwenda kuchukuwa document katika kampuni moja hivi. Nilipofika sikumkuta secretary, niliambiwa ameenda lunch. Nikamkuta kijana mmoja ambaye ni bosi wake na ndiye aliyekuwa anawasiliana na bosi wangu.
Yule kijana akampigia simu afahamu document zilipo. Yule dada akamwambia amezifungia kwenye kabati yake na ufungua anao yeye. Inaonyesha sehemu aliyoenda kupata lunch pana umbali kidogo.
Aliporudi yule kijana alimfokea sana, yule kaka akamaliza hasira zake kwa kumwambia kwa tabia zako ndio maana wanaume wa kukuoa wanakukimbia.Yule dada alianza kulia mpaka na mimi nusu nilie. Nikimwangalia hivi, umri wake waweza kuwa kati ya miaka 34-36.
Tuchunge ulimi ndugu zangu, maneno yanauma.
sa we utajuaje kama hajaolewa?