mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,216
obhona?
nulu kunnukila gete
nulu kunnukila gete
Kabhiya gete, ogutula mitwe gete neyo ubosi yu!

Una namba ya huyo dada?
Ungemla kichwa?!
Unamaanisha kumla au kumrukia?
Kuna vitu vingine vidogo ila vinauma...
Jana nilitumwa na bosi wangu kwenda kuchukuwa document katika kampuni moja hivi. Nilipofika sikumkuta secretary, niliambiwa ameenda lunch. Nikamkuta kijana mmoja ambaye ni bosi wake na ndiye aliyekuwa anawasiliana na bosi wangu.
Yule kijana akampigia simu afahamu document zilipo. Yule dada akamwambia amezifungia kwenye kabati yake na ufungua anao yeye. Inaonyesha sehemu aliyoenda kupata lunch pana umbali kidogo.
Aliporudi yule kijana alimfokea sana, yule kaka akamaliza hasira zake kwa kumwambia kwa tabia zako ndio maana wanaume wa kukuoa wanakukimbia.Yule dada alianza kulia mpaka na mimi nusu nilie. Nikimwangalia hivi, umri wake waweza kuwa kati ya miaka 34-36.
Tuchunge ulimi ndugu zangu, maneno yanauma.

Kwakweli ukikalia sindani ndo unajua kumbe vitu vodogo vinauma sana....He he heee.....asiyeamimni akalie sindano!
Nilimaanisha kumrukia kichwa teh....We ndo useme ulimaanisha nini... kumla kichwa au kumchapa kichwa?
Wanaume wengi utadhani tumezaliwa na baba mmoja!
Bint wa watu anagombezwa kwa uzembe wa kazi, na kama bwana boss aliwahi kuonesha interest akachomolewa basi ndo hasira zinaongezwa! Na wabongo kwa kupenda kujiongeza kakosa kadogo utafoka weeeee kuonesha jinsi ulivyo commited kwenye kazi looooh! Na wewe mwenzeeetu em nikuulize maswali ya uchokozi kidogo.....
Huruma yako ilibase katika nini hasa? Umbo, sura ama kufokewa? What if akikupa nafasi ya kumbembeleza, say kuacha kazi ya manyanyaso aje kwako usiyejua kufoka? Si ni mwendo wa kujiliwaza badala ya kufanya kazi ya msingi ya kuonesha gratitude?
Nilimaanisha kumrukia kichwa teh....
Na mimi akinichokoza mdada humu MMU nitasema "Ndo maana hujaolewa"
Discipline ya kazi haina umri,,,,,he was right
Emotional abuse, ikikutana na weak personality, majanga.
Ningekuwa mie, ningempa jibu hilo hadi angeshangaa na roho yake.