Mchepuko1
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 215
- 103
Kuachiwa kwa first batch ya mkopo ndo kunanukia wenye presha za ajabuajabu mjikaze jamani,Ila angalizo hatuitaji misiba kama utakosa tafta namna nyingine ya kujisonesha.yakitoka unatakiwa uyaangalie sehemu ambayo ipo tulivu huwa hayaitaji kelele,kelele zikiwepo hutayaelewa