Mda muafaka tendo la ndoa ni upi?

hahaha mbu nadhani hapa kumetokea hitilafu kwenye ufahamu wa kiswahili cha Mwanajamii............Gama kama hajamuelewa hivi?

au ndio anataka kutwambia anapiga mbizi kwenye crimson tide?!!!:A S 39:
 
hahaha mbu nadhani hapa kumetokea hitilafu kwenye ufahamu wa kiswahili cha Mwanajamii............Gama kama hajamuelewa hivi?

au ndio anataka kutwambia anapiga mbizi kwenye crimson tide?!!!:A S 39:

gaijin: nimemuelewa kila mchangiaji, my responce was more directed kwa members wanaosena "any time is tea time", kwa wao weather doesnt affect, hata kama ni mafuriko wanaogelea?!
 
Duh wewe ni either hujaoa au unapiga nje cup.....!!

Umeulizwa muda muafaka wa kufanya TENDO LA NDOA sio wa kufanya ngono au zinaa!!

We mwanajamiione, tendo la ndoa na ngono kunautofauti gani? Au kwenye ndoa unaweka sehemu tofauti na ile ya kufanya ngono? Labda hili swali liko beyond the scope kwa wengi wetu. Nadhani jamaa yuko sahihi. Kitu ni kilekile isipokuwa anafanya tendo la ndoa na ke asiye mke wake.
 
any time, any place, any where, summer, winter, spring , autumn, day and night,night and day,
 
Hapa magriiti thinkaz mnajadili nini?:frusty::frusty::frusty:

Muda wa kumegana? Ngoja nipate uzoefu wenu vijana. Sisi enzi zetu, kabla hizi baioloji hazijaamua kusizi kwa sababu ya umri, tulikuwa tunamegana usiku wa manane wakati watoto wamelala. Bibi yenu anawatoroka watoto wa kike, nami nawatoroka wa kiume tunaenda megana kwenye zizi la mbuzi. Watoto walikuwa hata hawajui kama nawamegea mama yao. Wanashangaa mama kitumbo kuumuka kimeumuliwa saa ngapi?
 
Mchana poa sana. Kitu inakuwa ya motooooooooooooooo!

Ukizamisha machine, ukichomoa unaona jogoo kajaa kitu kama maziwa hivi. Mimi huwa napagawa sana nikionaga yale maziwa. Asikwambie mtu ile kitu huwa poa kama unaona kuliko kupiga gizani.

Nikiona hiyo ktu huwa nahisi kutapika.Ni utoko huo.

Nilishawahi kuambiwa kuwa ni dalili ya demu kutojisafisha kwa vidole humo ndani.

Mkuu usiniambia huwa unazamia kabisa!!:mmph::doh:
 
huyo atakuwa na krumpempe la kufa mtu.
 
Mchana poa sana. Kitu inakuwa ya motooooooooooooooo!

Ukizamisha machine, ukichomoa unaona jogoo kajaa kitu kama maziwa hivi. Mimi huwa napagawa sana nikionaga yale maziwa. Asikwambie mtu ile kitu huwa poa kama unaona kuliko kupiga gizani.

nikikutana na hali kama hii hata mtarimbo unanywea kabisa!inatia kichefuchefu kama si kutapika kabisa
 
Nikiona hiyo ktu huwa nahisi kutapika.Ni utoko huo.

Nilishawahi kuambiwa kuwa ni dalili ya demu kutojisafisha kwa vidole humo ndani.

Mkuu usiniambia huwa unazamia kabisa!!:mmph::doh:

Msimzodoe jamaa kihivyooo! Kila mtu na mapenzi yake mkuu. Nilishakutana na mrembo mmoja matata kabisa lakini alichokuwa anakipenda sikuamini, alikuwa anapenda harufu asilia ya jasho langu. Siku akinikuta namna hiyo mizuka yake hupanda kabla hata ya kuelekea kunako sita kwa sita, na siku hiyo shughuli huwa ni pevu kweli kweli tofauti na siku akinikuta nimejispay.
So, msimshangae jamaa kihiyoo.
 
Anytime its tea tyme. As long as you feel like drinking and the weather & environment allows you to..........

kwa kutia msisistizo ni wakati wowote ambapo nyege zitakuwa juu wewe pata vitu tu...... :smile-big::A S 8::A S kiss: that is when weather & environment allows you to.......... :smile::tongue:
 
avatar25646_1.gif
:A S 8::A S 8::A S 8: I love You
 
kanyasu well said...
ngoja niongezee kidogo..
nikiassume kama wawili hao ni wana ndoa ama wapenzi wanaoishi pamoja... muda muafaka utategemeana na malengo, mazingira, muda, mood na hali, majukumu, uwezo, afya, **element of surprise**, n.k

malengo: inategemea kama ni kwa kupeana raha ama kutunga mimba. Hilo likijulikana basi kalenda ya mzunguko wa uzazi wa mwanamke huzingatiwa, kwani zile siku 2 nyuma na mbele ya siku ya katikati ataweza kupata ujauzito (mwone dokta), ni vizuri kutumia kondom km hamjapanga kupata mtoto.

mazingira: je ni ofisini, nyumbani, nyumba ya kupanga:tape:(kelele za mahaba), safarini, ukweni, kuna watoto au hakuna, n.k? kuna wapenzi wengine husisimuliwa na concept ya public sex au tuseme husisimuliwa na hali ya hatari na kuwa na machale mda wote, hivyo ofisini, ukweni au sehemu ya watu wengi huwa ni safi na muda ni pale watu wanapokua bize zaidi.... safarini inaweza kuwa ni muda wote kama mlienda kwa mapunziko. kuhusu suala la watoto mda mzuri huwa ni usiku wakishalala kwani unaweza washa redio kukinga sauti, kwa watoto asubuhi huwa ni ngumu kutokana na kashkash za maandalizi ya wao kwenda mashuleni.

muda: ni ya mchezo mzima! kwa wale wanaopenda pool table (game la dk 5) na wale wapendao soka (dk 90)..*:smile-big:he he hee si kila mtu anaweza dk90*.. Asubuhi, tendo huwa ni la haraka (quickie!!), wale wa dk 5 huwa na advantage kuliko wa dk90 (kwa wanaume) kwani hufika kileleni mapema.. kwa wanawake hutegemeana na hali aliyonayo au "matayarisho" na connection kati yao (wengi hawafikishwi kileleni):doh:... Usiku, ni muda mzuri kama hauingiliani na pt ya juu, kwani couple huweza kutayarishana siku kabla ama mapema kabla ya jioni, hivyo kupangilia vitu kama mlo, manukato na madhari ya chumba ambavyo huchochea ufanisi katika tendo.. pia hawatakimbizana na muda na kuhakikisha kila mtu anapata haki yake...

naona nikatishie hapo maana nimesema kidogo isije ikaonekana kama barua bure... ukitaka nimalizie nitaendelea...:smile-big:
 
Back
Top Bottom