Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Siku moja usiku nikiwa baa nilimsikia mtu mmoja akiwaaga wenzi kuwa anatakiwa afike nyumbani mapema kwani walishakubaliana na mwenza wake kuwa mda muafaka wa tendo la ndoa ni kabla ya kulala. Wenzie walimweleza kuwa wao wanapendelea bao la alfajiri. Naomba maoni yenu. Najua wale members wa inf hupendelea mchana (hasa lunch time) zaidi ili mwenye mali asishtuke..............