Mda kuroga huu unalalaje kizembe

Ila nyie jamaa mna hekaheka kuliko mainjia wa kichina.

Naomba kujua faida kuua za mishe hizo, maana kwa baadhi ya watu usiku ni mapambano na nyie.
Faida kubwa n kusaidia watu kutoka kwenye mikono ya watu wenye hila na hasdi, faida ingine kupata baraka kwa ulie msaidia, kupata baraka kutoka kwenye Asili na Mungu mwenyewe Alie toa hii karma kwako
 
Faida kubwa n kusaidia watu kutoka kwenye mikono ya watu wenye hila na hasdi, faida ingine kupata baraka kwa ulie msaidia, kupata baraka kutoka kwenye Asili na Mungu mwenyewe Alie toa hii karma kwako
Kama ni hivyo, fanyeni namna ya kuboresha kazi kwa kuweka udhibiti wa ubora - TBS.

Wenzenu makanjanja wanauza majibu na udongo wakidai ni tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…