Kwani ni saa ngapi hapo...Mkuu, unauliza saa kwani muda haupiti utakuwa pale pale? Unatokea Songea nini? Maana yake unanikumbusha wanavyotoa direction;
Utakweeenda, utakweeenda hadi utakuta nyumbi moja nyeupe karibu na bombi, kuna mtoto analilia tundi ya mpera na mbele yake kuna mti na jogoo ya Mapunda initafuta chakula, na na Bambo anachezee gari hajavaa shati, na mama yaki yuko jikoni anipiki ugali, basi ndio hapo hapo. Bombi hii nyumbi hii.