MCSE, Help!

MCSE, Help!

Hadoop

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
88
Reaction score
15
Wadau,
Naomba aliyewahikufanya hii mitihani ya Microsoft (MCSE) anipatie mwanga/idea kidogo nianze kujisomea somea mwenyewe.

Thanks.
 
Ingia google uandike mcse utaona kila kitu unachotaka kujua!pia tafuta papers zipo kibao mtandaoni ukishasoma masomo yote 7 ndipo utaweza kuanza kujisomea kujiandaa na papers hizo 7 kama sikosei.tumia internet yako vizuri kila kitu kipo mtandaoni!acha uvivu
 
Wadau,
Naomba aliyewahikufanya hii mitihani ya Microsoft (MCSE) anipatie mwanga/idea kidogo nianze kujisomea somea mwenyewe.

Thanks.

Mcse muda wake umeisha, think of something new soma MCITP course ndio upgrade ya MCSE

Suppose unahitaji learning materials, ninazo MCITP video training unazoweza kusoma nyumbani na ukawa tayari kwa mtihani

Angalia www.alphonce.net
 
Back
Top Bottom