Mchungaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchungaji

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Graph Theory, Aug 2, 2011.

1. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#1
Aug 2, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280
Kuna mchungaji alikuwa akihubiri kanisani akisema Mtu atakayetenda mema siku ya kwenda mbinguni atakwenda kwa ndege. Sasa ikafika siku ya kwenda mbinguni, jamaa mmoja akafanikiwa kwenda kwa ndege. Wakiwa wanaendelea na safari jamaa akatazama chini kupitia dirishani, lahaula akamuona mchungaji akiwa anaenda mbinguni kwa GARI. Jamaa akamuuliza mchungaji imekuwaje anakwenda kwa GARI inamaana hakuwa akitenda yale anayohubiri, mchungaji akamjibu afadhali yangu mimi nimepanda gari hebu mtazame Askofu nyuma yangu, alipotizama alimuona Askofu akiwa anakwenda kwa BAISKELI.

2. A

Aine JF-Expert Member

#2
Aug 2, 2011
Joined: Nov 1, 2010
Messages: 1,613
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Kwenda mbinguni kwa ndege! gari! baiskeli! hivi unamaanisha nini hasa, naona sijacheka badala yake nashangaa tu!

3. mchemsho

mchemsho JF-Expert Member

#3
Aug 2, 2011
Joined: Jun 8, 2011
Messages: 3,158
Likes Received: 143
Trophy Points: 160
Kuwa na heshma kwa watumishi wa Mungu. Piga magoti,Tubu.!

4. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#4
Aug 2, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280
kwani hakuna watumishi wa MUNGU wanaotenda kinyume na yale wanayoyahubiri?

5. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#5
Aug 2, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280

namaanisha kuna watumishi wa MUNGU wanaotenda kinyume na mafundisho wayahubirio na inawezekana kabisa siku ya mwisho watalia na kusaga meno huku wale waliofuata hayo mafundisho wakifurahia mbinguni

6. Mshume Kiyate

Mshume Kiyate JF-Expert Member

#6
Aug 2, 2011
Joined: Feb 27, 2011
Messages: 6,774
Likes Received: 22
Trophy Points: 135
Pasua kichwa hii

7. LiverpoolFC

LiverpoolFC JF-Expert Member

#7
Aug 2, 2011
Joined: Apr 12, 2011
Messages: 11,001
Likes Received: 153
Trophy Points: 160

Tena cjui nimseach PM.

8. LordJustice1

LordJustice1 JF-Expert Member

#8
Aug 2, 2011
Joined: Jan 19, 2011
Messages: 2,264
Likes Received: 10
Trophy Points: 0
Siku ya mwisho kutakuwa na ajabu tatu:
1. Bila kutegemea wewe utajikuta umeingia mbinguni!
2. Uliyemdhania kwamba "ndiye," utamkuta "siye!"
3. Uliyemdhania "siye," utamkuta "ndiye!"

9. egbert44

egbert44 JF-Expert Member

#9
Aug 3, 2011
Joined: Mar 17, 2006
Messages: 361
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
wanajifanya hawaelewi nini wakati hayo ni mambo ya fasihi, askofu kwa kutumia baiskeli akifika mbinguni bahati na hata huyo mchungaji anayetumia gari maana mbingu na dunia inasemekana havijagusana sasa kwa gari au baiskeli ni kujitia kizungumkuti

10. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#10
Aug 3, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280

nashukuru kwa kuwaelewesha zaidi sijui hawajasoma kiswahili

11. Bushbaby

Bushbaby JF-Expert Member

#11
Aug 3, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 1,577
Likes Received: 80
Trophy Points: 145
Hujawahi kusiki wanaosemaga usifute matendo yangu fuata maneno yangu?? ndo watumishi wetu wa siku hizi tena kama aliweza kwenda hata kwa bike ana bahati....

12. First Born

First Born JF-Expert Member

#12
Aug 3, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
tena sio utani na watumishi wa Mungu, hapa anafanya utani na MUNGU MWENYEWE :A S-fire1: :A S-fire1: :A S-fire1:

13. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#13
Aug 3, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280

sijaleta utani wowote ila nilikuwa nazungumzia watumishi wa MUNGU wanaokwenda kinyume na maneno wayahubiriyo. Hii ni hatari sana endapo mchungaji atakuwa kinyume na hayo maneno yake maana kuna waumini wengine hufuata kile anachotenda. "ole wao wachungaji wanaoharibu kondoo wa marisho yangu asema Bwana"

14. chapaa

chapaa JF-Expert Member

#14
Aug 3, 2011
Joined: Feb 19, 2008
Messages: 2,355
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Kwenye RED hili ni jukwaa la utani ulikuwa na maana gani????
Kwenye BLUE kuna jukwaa linalo wahusu hao watumishi!!!!!

15. Maayo

Maayo JF-Expert Member

#15
Aug 4, 2011
Joined: Jul 21, 2011
Messages: 319
Likes Received: 0
Trophy Points: 33

Wapo sana! Nawashangaa hao wanaobisha.

16. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#16
Aug 4, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,991
Likes Received: 733
Trophy Points: 280
Teh teh teh....................

17. HOMOSAPIEN

HOMOSAPIEN JF-Expert Member

#17
Aug 4, 2011
Joined: Mar 31, 2011
Messages: 719
Likes Received: 60
Trophy Points: 45
Kuna mchungaji mmoja alikuwa akihubiri kanisani kuwa watenda dhambi wote huko ahera watalia na kusaga meno kwani kuna mateso makubwa kutokana na matendo yao,kulikuwa na ajuza mmoja kanisani yeye akawa akicheka sana tena kwa nguvu sana ,mchungaji akashangaa ikabidi amuulize vipi yule ajuza akamjibu akisema heri yangu mimi sina meno hivyo hahusiki katika kusaga meno,wote wakacheka kwani ajuza kafurahi yeye hahusiki na kusaga meno.

18. Graph Theory

Graph Theory JF-Expert Member

#18
Aug 4, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 3,803
Likes Received: 1,116
Trophy Points: 280

teh teh teh bibi ni wa nouma

Loading...