Mchungaji: Wasio na mvuto marufuku kuoa au kuolewa.

Nilivyomuelewa ni kwamba , oa au kuolewa na mtu ambaye ni sahihi kwako. ( Nafsi yako imeridhia kuwa nae)
 
Hakunaga mtu mbaya!

Huyo Mchungaji mbona anachukulia mambo kama wasioamini?

Kwa hiyo anaamini kuwa Mwenyezi Mungu ameumba wazuri na wabaya?
Kwa hiyo anakosoa kazi ya Mungu au sijamuelewa?




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom