GE2025 Mchungaji Victoria: Tutapata wapi sadaka mkiandamana? Sisi tunaishi kwa kula sadaka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.

Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.

Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.

Mijizi mitupu. Mtakula mafi yenu
 
🤣🤣🤣 leo mnawatukana wasomi kwa kula sadaka hii October ya moto 🔥.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Hao wamepewa pesa ili wajidhalilishe!!! kama mwenyewe anakili kwa ulimi wake kuwa anapenda sadaka(hela offcouse) inashindikanaje kwa yeye kuchukua kitu kikubwa kutoka kwa mama la mama? Too good, ni kwamba tushaonywa na yesu mwenyewe coz alijua watu kama hao lazima watakuja tu! Offcourse hao ni miongoni mwa magugu!! October 29 hakuna udini wala nini, TUNAKIWASHA!!
tofauti yake na kina mwamposa na pengo ni kuwa ameongea ukweli
 
"Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”

Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.

Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.

Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.

Amani bila haki ni sawa na gorofa lililojengwa juu ya msingi wa matope na nguzo za mabua!
 
Sisapoti maandamano haramu ila itoshe kusema huyu mchungaji ni mpumbavu anayefanya kazi ya ibilisi kwenye vazi la kichungaji.
 
Back
Top Bottom