ustaadh huoni reaction kali? Usilete tofauti za dini sheikhWagalatia hapo klmyaa.Ingekuwa Sheikh na elimu yake ingetajwa.Angeitwa kila aina ya majina.
Kawaelezeni huo upuuzi familia za watu waliotekwa na kuuawa, amani ipi mnayozungumzia."Sisi Tunakula Sadaka, Maisha Yetu ni Sadaka”
Mtumishi wa Mungu Mchungaji Victoria Joseph wa Life Center International Bible College pamoja na wengine wamesema kuwa wao kama viongozi wa dini, endapo amani itatoweka kutokana na kelele za mitandaoni, watakosa sadaka.
Wakizungumza na waandishi wa habari, viongozi hao wamewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kwa maslahi mapana ya nchi, huku wakikemea vikali wale wote wanaotaka kuvuruga amani kwa sababu zao binafsi.
Aidha, wamesisitiza kuwa wataendelea kufanya ibada ili amani iendelee kutawala, kwani maisha yao kwa asilimia kubwa yanategemea sadaka.
Ungekuwa unatumia nguvu hiyo hiyo kukemea wanapokuwa wa upande wako.Bila hivyo ni unafiki tu.ustaadh huoni reaction kali? Usilete tofauti za dini sheikh
tatizo lenu huwa mnaamini upande huu wakiongea blunder wataachwa bila kukemewa, wapuuzi wote hukemewa bila kujali dini na imani zaoUngekuwa unatumia nguvu hiyo hiyo kukemea wanapokuwa wa upande wako.Bila hivyo ni unafiki tu.
hujawahi kuona kwa kuwa unaingia humu mara chache, muda mwingi unakuwa kule kwenye mitandao ya udakuUlikuwa unajifanya neutral huku lugha unayotumia inakuumbua"tatizo lenu" Kina nani?Wacha unafiki hujawahi kukemea mada za kidini zinazoletwa kila siku na kejeli hapa JF.Wacha kujipa moral authority usiyekuwa nayo.Wewe pia ni wale wale.
Siwezi kushinda JF kama wewe nina kazi za kufanya.Mara chache ninazoingia sijaona ukikemea huo unaouita "udini"ukitoka upande unaoamini wewe.Hiyo mitandao ya udaku utakuwa wewe ndio monitor kwani inaelekea unajua wanaoingia.Sorry mimi sio mmoja wao.hujawahi kuona kwa kuwa unaingia humu mara chache, muda mwingi unakuwa kule kwenye mitandao ya udaku
sasa unabisha nini mjuba? Umejuaje kama huwa sikemei upande wangu unaodai hujawahi kuona?Siwezi kushinda JF kama wewe nina kazi za kufanya.Mara chache ninazoingia sijaona ukikemea huo unaouita "udini"ukitoka upande unaoamini wewe.Hiyo mitandao ya udaku utakuwa wewe ndio monitor kwani inaelekea unajua wanaoingia.Sorry mimi sio mmoja wao.
Weka posti yako ukikemea huo unaouita "udini" kwenye upande wako.sasa unabisha nini mjuba? Umejuaje kama huwa sikemei upande wangu unaodai hujawahi kuona?
utaona tu subiri kama huyu anayeongea blunderringWeka posti yako ukikemea huo unaouita "udini" kwenye upande wako.
Wakristo kwa eneo la sadaka na kuombewa wanashangaza na kufikirisha sana.Amesema ukweli, dini zinatumika kuwatajirisha waendeshaji.
Mwamposa amemsafirisha mama ake kwenda German kutibiwa, Ila huku bongo amepata wapumbavu wa kuwadanganya na kuwanyoosha.
Agiza pepsi baridiWagalatia hapo klmyaa.Ingekuwa Sheikh na elimu yake ingetajwa.Angeitwa kila aina ya majina.
Wakristo wapuuzi wako wengi mnoWakristo kwa eneo la sadaka na kuombewa wanashangaza na kufikirisha sana.
Mtu anaona wazi pesa anayotoa inaliwa na nabii uchwara wazi wazi lakini bado anaendelea kutoa akiamini anamtolea Mungu.
Anaacha kumpeleka mgonjwa hosipitali anapeleke kwa nabii, ila nabii akiumwa anaenda hosipitali wazi bila kificho.
Ajabu sana.