THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,860
- 15,219
Lkn huyu si mtu wa muleba km.wewe!
Na nimeskia biashara yake ya Sembe imemkubali vibaya sana.
Hivi wahaya mnaotokea huko muleba hizi biashara kwanini mnazipenda sana!?
Hamjui mnaliangamiza taifa letu changa?
Zile biashara za matoke zimewashinda! Sasa mnatuulia watoto.
huyu mama vipi ile ndoa alomfungisha mbunge mwenzie na kijana mdogo. hana hata aibu achukue posho aongeze idadi ya makofia awakoge waumini wake
Siyo vuzuri kumtukana Mtume wa bwana yesu Mkuu.
Mbona hata kwenye kanisa lake anapiga ngoma kumsifu bwana??
Wanaliita disco la yesu..serikali fikeni hadi huko na mpige marufuku.
Mimi nawashangaa sana watu ambao mtu yeyote akipata maendeleo wanamsakama kwa tuhuma nyingi tu. Huyu mama mchungaji kajikuta amejenga ktk sehemu isiyoruhusiwa. Sawa. Lakini ni wangapi wamejenga hivyo kutokana na mapungufu yaliyoko kwenye wizara husika? Ukianza kuwataja huwamalizi leo. Mimi nitawachukia wale wanaochota pesa ya serikali na kutuacha wananchi tukitaabika. Hata dawati la kukalia kwa baadhi ya shule hamna! Lakini wajasiramali kama huyu mama tuwatie moyo waendelee mbele.Amezoea Vimeo wapambe wake wametajirika kupitia udhaifu wake wa kupenda vya kunyonga,anapenda ligi sana tena yupo tayari kutumia pesa nyingi kuzuia haki kuliko kumlipa Mtu ! Mzee ngonyani wa kawe sasa amemlaani baada ya kumdhulumu kiwanja chake kawe beach,kisha akatumia pesa nyingi kuzuia Haki ! Kuliko pesa ambayo alipaswa amlipe Mzee ngonyani ! Wasanii wa Mjini wamejipenyeza kwake wanavuna Pesa kwa kisingizio cha kumsaidia kumiliki kiwanja bila kumlipa Mzee ngonyani ! Hiyo Laani inamtafuna ndio maana wana JF wanampa Live
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!
In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
Nadhani ameisahau wizara ya Habari UTAMADUNI na Michezo.Asante sana kwa jibu zuri..............Tudumishe utamaduni
Siyo vuzuri kumtukana Mtume wa bwana yesu Mkuu.
Lazima utakuwa mmoja wa wazee wa kanisa la mlima wa moto wewe....Mimi nawashangaa sana watu ambao mtu yeyote akipata maendeleo wanamsakama kwa tuhuma nyingi tu. Huyu mama mchungaji kajikuta amejenga ktk sehemu isiyoruhusiwa. Sawa. Lakini ni wangapi wamejenga hivyo kutokana na mapungufu yaliyoko kwenye wizara husika? Ukianza kuwataja huwamalizi leo. Mimi nitawachukia wale wanaochota pesa ya serikali na kutuacha wananchi tukitaabika. Hata dawati la kukalia kwa baadhi ya shule hamna! Lakini wajasiramali kama huyu mama tuwatie moyo waendelee mbele.
Nini Mtume ngoja na mimi nianzishe Mlima wa Volkano nijiite Mtumaji....Siyo vuzuri kumtukana Mtume wa bwana yesu Mkuu.
Katunwa wapi!? Kofia sio tusi!! Badilisha kauli yako, yule sio mtume, ni mfanyabiashara tu!
Hayo unasema wewe.
Waumini wa kanisa lake wanamtambua kama MTUME mpya.
Na kaletwa na yesu kuwakomboa.
Kwa hivyo hata ile biashara ya sembe anayofanya pia ni ktk IBADA ya za kivatikani
Siyo vuzuri kumtukana Mtume wa bwana yesu Mkuu.
Umenifanya Machoz Yananitoka Walah Nimecheka Xana
Kwani kelele za makanisa ya warokole kwa majirani zao kila siku usiku kucha si jambo la kukera !? waanze na hili kwanza na waamuliwe waweke vacuum au wasali kama wakristo wenzao siku waliyochagua na iwe mda ambao kumekucha na si usiku kucha kila siku sara gani hizo au kuna la ziada ?