Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

Mchungaji Rwakatare acharuka Bungeni!

K-Boko

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Posts
697
Reaction score
218
Akichangia hoja ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, wanawake na Watoto Bungeni leo; ameomba kwa uchungu, Watanzania kukemea ukeketaji, ngoma za kudhalilisha kama vile kangamoto na nyinginezo na upigaji wa wanawake!

In fact, inashangaza jinsi ngoma hizi za ovyo zinavyoshamiri Dar, inashangaza ni kwanini serikali kupitia wizara hii hawakomeshi ngoma za ovyo kama hizi! Kule Boko Beach kuna ngoma ya ovyo kabisa huchezwa kila wikiendi, viongozi wa serikali ya mtaa hawaoni?
 
Iko kwenye maandishi fulani kwamba "enyi wanafiki, mwachuja mbu na kumeza ngamia" ndio kama hivyo alivyoongea Rwakatare "kwa uchungu"; mnafiki mkubwa huyo.

Yanayostahili kuongelewa kwa uchungu na hasira yanachekewa na kinyume chake. Hivi umaskini unaowakabili watanzania leo hii ni kwa sababu ya NGOMA YA KANGA MOTO inayochezwa huko ufukwe wa Boko kila wikiend? Upuuzi mtupu!
 
Ni upuuzi zaidi kufikiria umasikini wakati wote na kupuuza mambo mengine kama ya mmomomonyoko wa maadili ya jamii yako. Yaani utakaa kupiga ngoma ya umasikini tu wakati mengine unafumbia macho kisa wewe masikini?
 
Ngoma za kudhalilisha sio utamaduni wa mwafrika

Nyie watu vipi acheni unafiki! Hizo ngoma zinamdhalilisha nani? kwani kuna watu wanafungwa minyororo wanachezeshwa hizo ngoma? Kama zingekuwa zinadhalilisha zisingekuwa na mashabiki! Unajua lazima tujifunze kuwaacha watu huru wajimwage wajitafutie riziki zao kama wanavyoona wao alimradi tu hawaingilii uhuru wa mtu mwingine naye kuishi apendavyo! hivi hizo kanga moko zainingila uhuru wa mtu mwingine? kama huzitaki unaenda kuanalia za nini? kama zinakukkwaza kwa nini uende kuzikodolea mimacho? Si uende na shughuli zako uwaache wanaozifurahia waendelee kupata uhondo! Acheni hizo. Hizi ngoma mbona wakati zinachezwa watu wanjaa kedekede! Acheni unafiki! Tatizo unajua hawa viongozi wanafiki wanaojifanya ni watumishi wa mungu wanaingiza mambo ya dini kwenye maisha ya watu ambao hawahusiani na dini zao! Hiyo karne imeshapita!
 
Kwani kelele za makanisa ya warokole kwa majirani zao kila siku usiku kucha si jambo la kukera !? waanze na hili kwanza na waamuliwe waweke vacuum au wasali kama wakristo wenzao siku waliyochagua na iwe mda ambao kumekucha na si usiku kucha kila siku sara gani hizo au kuna la ziada ?
 
Bila kuwa na kipaji cha kutoa machozi hadharani,au kutambaa kwa magoti huwezi kuwa kiongozi wa magamba chunguza utagundu

Back
Top Bottom