Kwa Wale Wote Wakristo Na Wacha Mungu Hali Kadhalika Ndugu Zetu Wadini Nyingine Hii Ni Habari Ya Uzuni Kama Si Kukatisha Tamaa,,\habari Hii Nimesoma Kwenye Gazeti La Mtanzania La Leo
Mheshimiwa Mchungaji,mtumishi Wa Mungu Dk Getrude Rwakatare Ameamua Kuachiangazi Na Cheo Chake Cha Uchungaji Na Kuamua Kujikita Zaidi Katika Siasa Kutimiza Yale Maneno Makuu Ya Biblia Ya Kaisari Mwachie Kaisari Ya Mungu Mpe Mungu,,,hili Ni Jambo La Kusikitisha,,katika Kuamini Hili Mkuu Wa Kanisa La Assemblies Of God Amekiri Kupokea Barua Ya Mama Rwaktare Na Kusema Ameamua Kuwarudishia Kanisa Mikononi Mwao,,,,neemaya Mwenyezi Mungu Ituongoze Kwa Hili...haa Ndipo Ntakapoataka Kuangalia Wale Watumishiw Aliokuwa Pale Kwa Ajili Yule Mama Na Wale Waliokuwepo Kwa Ajili Ya Mungu,,,,wana Jf Shusheni Nukuu Zenu
Ameahidiwa uwaziri nini !!!!!!!!!!!

Haya tulijua yangetokea, na bado makubwa zaidi yaja! Watu wakiambiwa wajihadhari na hawa "wasanii" hawasikii! Huko Kenya kuna mwenzie anaitwa Margaret Wanjiru (weka tu hili jina kwenye google uone hizo taarifa zake!)
Kama tamaa ya pesa ndo inampeleka unafikiri wenye tamaa wanaenda mbinguni.
Niwabmie ndugu zangu jambo hili kama limetoka kwa Mungu litadumu la sivyo hatafika mbali kisiasa.Yapasa tumwombee maana pia tunapenda viongozi wacha Mungu-