Mchungaji Peter Mitimingi acha kupotosha wanawake

Mchungaji Peter Mitimingi acha kupotosha wanawake

Hakuna fomula ya mahusiano, kila mtu ananamna yake ya kuishi na anatakiwa apate mwenza Wanaeendana.
Sasa ukiona Wewe unaenda kufundishwa mahusiano kitu ambacho ni cha asili kabisa Ujue unaupungufu mkubwa Wa akili.
Kwangu Mimi mahusiano hayafundishwi kwasababu anachotaka Juma sicho anachotaka Charles.
Msome mwenza wako muishi Kwa amani usimwendee na mafundisho ishi nae kwa uhalisia Wa maisha na wakati.
 
Haahaaa...halafu wife akirudi nyumbani anakuhubiria na wewe kuwa unatakiwa umuhudumie kila kitu hadi salon. Mnaanza kugombana mwisho mnaachana akiambiwa wewe siyo mume kutoka kwa Mungu!!

Wanawake mjichunge sana na watu wanaowapa mafundisho ya ndoa. Wengi mkihubiriwa hivyo mnafikiri ndio maisha ya ukweli kumbe ni kama hadithi.

NB: Hakikisha unamsikiliza Mungu zaidi na awe muamuzi wa maisha yako la sivyo mtapotezwa.
Mbavu sina kabisa mkuuu😀😀😀😀😀😀😀
 
Mkuu mtunze mkeo ukishindwa wapo wengi wa kukufanyia hiyo kazi huna haja ya kulalamika jamvini mchana kweupe. 😛😛😛😛
Pole sana mkuu huwa siongozwi na hofu katika mahusiano yangu. Ukidhani mke huibiwa kwa kukosa matunzo tu.. pole sana, wewe mkabidhi kila kitu halafu angalia jamaa wanavyojipigia kwa mali yako hiyo hiyo uliyo mpatia.
 
Ndiyo yaweza kuwa lakini kwa kumtunza unapunguza risk inabaki tabia ya kuzaliwa nayo.
 
Ndiyo yaweza kuwa lakini kwa kumtunza unapunguza risk inabaki tabia ya kuzaliwa nayo.
Then hofu yako inatoka wapi? Kuogopa kuchapiwa nadhani ni vema kuwa eleza ukweli kuwa wao pia wana uwezo kiuchumi kwa familia.
 
Fanya hesabu kama ungekuwa unategemea ku import kila siku, ungegharamia kiasi gani kupata hiyo huduma kwa siku zote ulizokaa na mkeo
Kuimport ni swala jingine ndo maana ukishampa chake hamjuani tena wala hakuna mambo ya mama anaumwa inatakiwa ela ya hosp wala kuna msiba nyumbani unatakiwa mchango lakini kwa mke kuna vingi ungharamia kuanzia chakula asbh, mnchana na jioni, achilia mbali mahali unayolipia plus gharama za harusi, amefiwa mjomba wake mtafunga safasi mwende mbali na michango, bibi yake anaumba utatoa gharama za matibabu, mdogo wake amekwama ada chuoni utalipia, ela ya mchezo kila week utatoa, kaona viatu vizuri sijui gauni ni ww, yeye mwenyewe akiumwa gharama niww mpaka dakika ya mwisho, hayo ni machache sana unaweza pia kuongezea mengine mengiiiiii ndo maana wengine wanakimbia kuoa kwa kuogopa gharama!!!!
 
Kweli mkuu hapo amekufanya chanzo chake cha mapato
 
Mbona Mafundisho Yako Vzuri Tu?Mi Nmemuelewa!Ila Wanaume Wengi Wakisasa Hawatamuelewa!!!Siku Hizi Ni Kawaida Kabisa Kumkuta Mwanamke Anakoroga Zege Afu Mwanaume Yupo Jikoni Anaonja Mboga!!! Wanaume Wa Kisasa Ni Waoga Wa Majukumu!! Utamuona Mwanaume Anafurahia Akioa Mwanamke Mtumishi Wa Serikal Au Anayejiweza Kiuchumi!!
 
Mkuu nadhani hauko sahihi sana, enzi zile za mababu zetu wanawake walikuwa wakienda shamba kulima na watoto wao kwa ajili ya chakula cha familia ilikuwa nadra kumkuta baba mwenye mji anapiga shamba kisawa sawa.
Mume alikuwa anaoa wake wengi na kila mke alikuwa na wajibu wa kuitunza familia yake/ watoto...
Hayo leo wanawake wa leo mnayoita majukumu ya wanaume ni yepi?
Mnalishwa matango poli na waelimishaji uchwara ambao wanayafundisha yale ambayo hata wao wenyewe hawayaishi..
Wanawake mwapaswa vipato vyenu vitumike na familia pia.
 
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.
Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?
Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.
Mkuu kama anadanganya wewe nenda kafundishe ukweli unaozania wewe
 
SIFA ZA MKE MWEMA ZINGATIA SIFA ZOOOOTE

Mithali 31:10 :
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19
Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27
Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29
Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Good
 
Mbona sioni upotoshaji?
kibiblia mwanamke sio mtafutaji ma kutunza familia bali anatakiwa kuamka mapema na kumhangaikia mmewe na watoto. Soma tena
Unajua nabii Musa alipokwenda kule ukimbizini aliwakuta wanawake wa yule dingi wakitafuta....unafahamu yezebeli alikuwa mtafutaji....Je unajua bible inasema anakula alichotafuta....je unakubali kwamba tunalokubaliana hapa duniani Mungu analitia muhuri...zama hizi tumekubaliana mostly wanawake pia wafanye kazi hata kama sio their primary obligation ! Life has changed everything needs money huyu mume sio punda,ukweli huu naamini unaujua...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom