Mchungaji Peter Mitimingi acha kupotosha wanawake

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,812
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.

Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?

Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.
 
Hizo habari za kumuhudumia mwanamke zilishapitwa na wakati tokea zilivyoanza harakati za haki sawa, misingi ya kibiblia ya kana kwamba mwanaume atakula kwa jasho imekufa siku hizi wanawake nao wanakula kwa jasho ndio maana laana na majanga ya asili yanaikumba dunia kwa wingi na hayatakoma zaidi ya kuzidi.
 
SIFA ZA MKE MWEMA ZINGATIA SIFA ZOOOOTE

Mithali 31:10 :
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19
Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27
Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29
Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
 
Haahaaa...halafu wife akirudi nyumbani anakuhubiria na wewe kuwa unatakiwa umuhudumie kila kitu hadi salon. Mnaanza kugombana mwisho mnaachana akiambiwa wewe siyo mume kutoka kwa Mungu!!

Wanawake mjichunge sana na watu wanaowapa mafundisho ya ndoa. Wengi mkihubiriwa hivyo mnafikiri ndio maisha ya ukweli kumbe ni kama hadithi.

NB: Hakikisha unamsikiliza Mungu zaidi na awe muamuzi wa maisha yako la sivyo mtapotezwa.
 
Mkuu huenda kuna tofauti ya "Mwanamke" na "Mke"
Kwa mujibu wa Maandiko niliyosoma Mithali 31: 10-
Mwandishi anaanza kwa kuuliza Mke mwema ni nani awezaye kumuona..?
Kwa swali hili na zama hizi inawezekana kabisa kuna wanawake.

A.k.a toa hela, nihudumie, ni jukumu lako. Utakula kwa jasho na n.k..

Halafu kuna "Mke" (wife material )
Inawezekana wengi tunao waona leo wakiolewa kwa mbwembwe ni sawa na "vidampa" tu. Kwa ajili ya kujichotea lakini ndani yao ile hali ya kuwa "Mke" haipo kabisa.
 
SIFA ZA MKE MWEMA ZINGATIA SIFA ZOOOOTE

Mithali 31:10 :
Mke mwema, ni nani awezaye kumwona? Maana kima chake chapita kima cha marijani.
11
Moyo wa mumewe humwamini, Wala hatakosa kupata mapato.
12
Humtendea mema wala si mabaya, Siku zote za maisha yake.
13
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
14
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
15
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
16
Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.
17
Hujifunga nguvu viunoni kama mshipi; Hutia mikono yake nguvu.
18
Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.
19
Hutia mikono yake katika kusokota; Na mikono yake huishika pia.
20
Huwakunjulia maskini mikono yake; Naam, huwanyoshea wahitaji mikono yake.
21
Hawahofii theluji watu wa nyumbani mwake; Maana wote wa nyumbani mwake huvikwa nguo nyekundu.
22
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
23
Mume wake hujulikana malangoni; Aketipo pamoja na wazee wa nchi.
24
Hufanya nguo za kitani na kuziuza; Huwapa wafanya biashara mishipi.
25
Nguvu na hadhi ndiyo mavazi yake; Anaucheka wakati ujao.
26
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
27
Huangalia sana njia za watu wa nyumbani mwake; Wala hali chakula cha uvivu.
28
Wanawe huondoka na kumwita heri; Mumewe naye humsifu, na kusema,
29
Binti za watu wengi wamefanya mema, Lakini wewe umewapita wote.
Mkuu Alvin hebu nambie kati ya hawa tunao oa leo yupi ana hata robo ya sifa.hizo hapo juu.
 
Safi
 
Na wanawake walivyokuwa na akili za kushikiwa kwa mtindo huu wa kuomba hela watachezewa sana,jamaa anahalalisha ukahaba
 
Haahaaa...halafu wife akirudi nyumbani anakuhubiria na wewe kuwa unatakiwa umuhudumie kila kitu hadi salon. Mnaanza kugombana mwisho mnaachana akiambiwa wewe siyo mume kutoka kwa Mungu!!

Wanawake mjichunge sana na watu wanaowapa mafundisho ya ndoa. Wengi mkihubiriwa hivyo mnafikiri ndio maisha ya ukweli kumbe ni kama hadithi.

NB: Hakikisha unamsikiliza Mungu zaidi na awe muamuzi wa maisha yako la sivyo mtapotezwa.
Kinachokera na kuumiza zaidi wanapumbazwa na huu upuuzi ni mabinti wanao elekea kuolewa. Mama zao wanamualika huyu muheshimiwa kutoa mada kwenye kitchen party.
Huko ndiko anakoenda kufundisha huo upupu. Mke akitoka hapo anakuwa jeuri na haambiliki sabbu
1.mafundisho hayo kayapata kwa mtu anayeitwa mchungaji.
2. Mama yake ndie aliye mleta mchungaji huyo.

Hivyo lolote utakalo taka kumrekebisha utasikia mbona Mchungaji alisema.......! Anakuonesha kwenye whatsp.
Au mbona Chriss mauki alisema......!
Anakufungulia instagram.

Kifupi maisha yamepoteza radha halisi na ndio ongezeko la talaka. Mke aliye aminishwa kupewa pesa na mume asipopewa unategemea anaenda zipata wapi?
 
Mkuu Alvin hebu nambie kati ya hawa tunao oa leo yupi ana hata robo ya sifa.hizo hapo juu.
tatizo lenu mnawalea kimayai kunzia kwenye mahusiano halafu unataka kumchenjia akiingia ndani
samaki mkunje angali mbichi
kuanzia bado demu afanye kazi zote kupika, kufua, kuogesha mtoto, kudeki, kufanya usafi wanyumba then akishazoea na akatambua kua huo ni wajibu wake baadae sana unamsaidia tena kwa step asijekuzoea akakupangia ratiba.
 
Kuna huyo na mwingine anaitwa mgogo sijui yaani ni tatizo wanaacha kuhubiri neno kama lilivyo wamegeuza madhabahu sehemu za kupiga soga na bahati mbaya wamejipatia mamia ya watu wanaowasikiliza ni shida kwelikweli

Maana injili yao haina wokovu kwa anayeisikiliza
 
Mbona sioni upotoshaji?
kibiblia mwanamke sio mtafutaji ma kutunza familia bali anatakiwa kuamka mapema na kumhangaikia mmewe na watoto. Soma tena
 
Kuna huyo na mwingine anaitwa mgogo sijui yaani ni tatizo wanaacha kuhubiri neno kama lilivyo wamegeuza madhabahu sehemu za kupiga soga na bahati mbaya wamejipatia mamia ya watu wanaowasikiliza ni shida kwelikweli

Maana injili yao haina wokovu kwa anayeisikiliza
Huo ndio aina ya ujumbe wanao taka wanawake wa leo. Mwambie ni lazima mumeo akuachie pesa ya mboga asubuhi, japo sijui ipo katika andiko gani la misahafu, mwambie ni lazima mumeo akutunze na ikibidi akununulie na gari au akujengee nyumba.
Ukiwa na aina hiyo ya mafundisho kanisa lako litajaa kila siku. Na hata kwenye mitandao ya kijamii utakuwa na wafuasi wengi sana.
 
Wakuu poleni na majukumu nimekaa na hili fukuto moyoni muda mrefu lakini nimeona ni bora nilitoe hapa ili ujumbe umfikie, nimeona baadhi ya clip za video zikizunguka kwenye mitandao akifundisha wanawake mambo mbali mbali, kilichonifanya nilete huu uzi ni pale Biblia inapopotoshwa kwa makusudi tu ya mtu fulani kushibisha tumbo lake au kutimiza ajenda yake.
Nimemsikia Mitimingi akisema mwanaume aliye oa anatakiwa kumgharamia mkewe kila kitu mpaka pesa ya salon! Aina ya mafundisho ambayo yanapendwa sana na wanawake wa leo
Wakitumia kifungu Kwenye biblia kuwa imeandikwa mwanaume utakula kwa jasho

Lakini nikisoma katika kitabu cha mithali 31:10... Biblia inaeleza kuhusu mke Mwema na sifa zake je kwanini miti mingi hawaelezi wanawake na mabinti ukweli huu? Kwanini anawadanganya?
Je haoni kama anasababisha migogoro katika ndoa na kiburi kwa wake zetu wakiamini kuwa wao kuhudumiwa kila kitu ni haki yao wakati sio kweli?

Nawasilisha.
Ni umaskini tu lakini akitakacho mwanamke lazima mwaume umununulie tu sema kama hakulidhishi utamhudumiaje kila kitu sasa ila kwa mahawara zetu tinatoa hata hera ya ada za watoto wetu au kodi ya nyumba kama sio duka.
 
umekanusha nini sasa mbona kama umejianika kutokujua kitabu cha biblia
 
Ni umaskini tu lakini akitakacho mwanamke lazima mwaume umununulie tu sema kama hakulidhishi utamhudumiaje kila kitu sasa ila kwa mahawara zetu tinatoa hata hera ya ada za watoto wetu au kodi ya nyumba kama sio duka.
Mkuu hilo neno "LAZIMA" umelitoa katika mila, mapokeo, dini, mazoea, kasumba? Au ulimbukeni..?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom