Jamaa mmoja alienda kupima UKIMWI, alipomaliza, akaambiwa arudi kesho kuchkua majibu, kabla hajaenda kuchukua majibu, akaamua kupitia kanisani, kuombewa. Wakati wa maombi, mchungaji akasema,"Roho wa bwana akuongoze uweze kupata majibu positive kwa kila unalolitarajia", jamaa akang'aka kwa ukali, "Mchungaji acha usengee".