Mchungaji Mwakipesile amkosoa Butiku kuhusu sakata la Polepole 'Huaminiki'

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.

Mchungaji Mwakipesile amekosoa kauli ya Mzee Butiku aliyedai kutofahamu alipo Polepole, akisema kuwa mzee huyo ameshindwa kuonesha ubinadamu na badala yake amekuwa akizungumza kwa mamlaka kana kwamba anafurahia yaliyomsibu mwanasiasa huyo kijana.

Pia Soma: Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga
 
Butiku anasamadi nyingi kumkichwa, hivyo sishangazwi na anachokisema juu ya yanayoendea.
 
Huyu mzee ni muuaji ambaye nae anapaswa kushughulikiwa.

Jana kaonesha wazi kufurahia Watanganyika kupigwa risasi na kuuwawa eti anatetea risasi ilikuwa lazima zipigwe.

Ngoja tumalizane na Samia, Mambo, Wambura na Mkunda ICC. Tukimalizana na hawa hatua ya pili ni huyu, Kikwete na wapumbavu wote waliobaki.

Ni suala la muda tu.
 
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.

Mchungaji Mwakipesile amekosoa kauli ya Mzee Butiku aliyedai kutofahamu alipo Polepole, akisema kuwa mzee huyo ameshindwa kuonesha ubinadamu na badala yake amekuwa akizungumza kwa mamlaka kana kwamba anafurahia yaliyomsibu mwanasiasa huyo kijana.

Pia Soma: Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga
Tuachane na habari za Polepole; wote tunajua bado yuko Cuba au nchi nyingine ya nje. Hajarudi Tz kukabidhi ubalozi kwenye mamlaka ya uteuzi hadi sasa. Na alisema mwenyewe yuko sehemu salama sana. Hata polisi wanamtafuta aende akatoe maelezo juu ya tuhuma anazotoa lakini hajaenda na wala polisi wameshindwa kumpata. Mara paap!!!, lofa mmoja anatuambia amekamatwa ununio na kutuonyesha chumba chenye damudamu kuwa alikuwemo humo. Nonsense!!! Kwahili namuunga mkono Butiku kuhusu Polepole.
 
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile amemshambulia kwa maneno Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mwalimu Nyerere Foundation, Mzee Joseph Butiku, akimtuhumu kuonesha chuki dhidi ya aliyekuwa Balozi Humphrey Polepole, ambaye hivi karibuni kumeripotiwa sintofahamu juu ya alipo.

Mchungaji Mwakipesile amekosoa kauli ya Mzee Butiku aliyedai kutofahamu alipo Polepole, akisema kuwa mzee huyo ameshindwa kuonesha ubinadamu na badala yake amekuwa akizungumza kwa mamlaka kana kwamba anafurahia yaliyomsibu mwanasiasa huyo kijana.

Pia Soma: Butiku: Sijui Polepole alipo, ingawa aliniaga
Mwakipesile ni mental case, anahitaji tiba kuliko kutoa maoni kwa watu wenye busara
 
Huyu mzee aangalie wasije wakammuwaisha maana kaanza kujikanyaga
 
Mtu anaye geuka nyuma na kusaliti mitizamo au itakadi zake huyo hapaswi kusikilizwa.
Huyu mzee wa hovyo hasikilizwi tena.
Umri huo anaogopa kifo kiasi yupo tayari kusaliti nduguze au uzao wake.
Ameshakula sana, walitakiwa Gen-Z ndiyo waogope kifo kuliko yeye.
 
kijiji bila wazee ni uwendawazimu. Marekani na ujanja, ubabe na usomi wao wote wamechagua viongozi wazee kama Biden na Trump kama vile hawana vijana. Unadhani wao ni wajinga sana kuliko wewe mavi mawili?
 
Nani amekataa wazee?
Kuna wazee wenye hekima na busara mfano Warioba na tunamuongeza kwenye orodha Mama Prof.Anna Tibaijuka. Pia kuna wazee wa hovyo mfano Wasira, Butiku n.k..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom