Mchungaji Msingwa aibua ufisadi maliasili


waarabu wanavyofanya ni sahihi? wanakamata hata watoto wa wanyama kama wavuvi wanavyokamata samaki kwa kokolo, hilo halikubaliki!
 
lebara, kosa la Mh. Msigwa ni nini? Baada ya kuangalia hii video kwa makini sana, nimebaki tu nikijiuliza kama kweli tunayo serikali. Mh. Msigwa ametufumbua nacho wananchi tuweze kujionea yanayotendeka huko mbugani na kwa hilo anahitaji pongezi siyo dhihaka ninazozisoma humu. Wanachofanya hao Waarabu hakikubaliki kisheria na kwa kweli kinawezekana tu ndani ya nchi kama hii yetu...nchi iliyoko kwenye auto pilot, isiyo na rubani wa kuwajibika. Nawashangaa wengine wetu; badala ya kuwakomalia viongozi wetu wanaofumbia macho ujinga kama huu, wanamlaumu mjumbe...hakika tumelaaniwa!
 
nashukuru umekili .kila la heri.
 

Wewe jamaa unakotokea raia wanakula mapanki ya samaki! wananchi hawaruhusiwi hata kutumia kokoro! yeye anaona waarabu kuwinda vitoto vya pundamili ni sawa tu!
poor thinking!
 

Wewe jamaa hunatofauti na waafrika waliopewa nguo na wakoloni ili wawakamate ndugu zao! na pia huoni kama ndugu zako kula panki wazungu wanapelekewa minofu, watu wanakimbilia kokoro!,.. Wewe jamaa haufai...!po
 
#hule ni mdudu gani?
 
nina wasiwasi na Jina unalotumia kama kweli ni lako.
 
ni hatari ukiona mtu anatetea wawindaji haramu wa wanyama wetu, hawa wote ni majangili mwindaji na anaye mtetea mwenyewe wote hao tunawaita majangili sababu jangili lazima amtetee jangili mwenzake.
 

Tayari ile kampuni iliyohusika imenyang'anywa vitalu vyao vya uwindaji kwa lile kosa walilofanya.
 
Msigwa mburula kweli kachukua picha bavicha wakiwinda kwenye hifadhi zetu yeye analeta siasa zake nyepesi.

Wewe unayemtusi Msigwa na Bavicha kumbe wewe ndiyo mbulula... Waziri wako katekeleza alichoambiwa na msigwa.Kaa kimya tusikuone tena huku majukwaani
 

Waziri Wa maliasili Leo kaifanyeje hiyo kampuni? Kubalini kuwa CDM sasa inaongoza nchi indirectly
 
Wewe unayemtusi Msigwa na Bavicha kumbe wewe ndiyo mbulula... Waziri wako katekeleza alichoambiwa na msigwa.Kaa kimya tusikuone tena huku majukwaani

Hizi siasa zetu zinapofusha watu macho kwenye nyeupe atasema nyeusi.
 
Kweli nimeamini wananchi wengi hawezi kufikiri Tanzania bila shaka wewe ni mmojawapo.Hivi unajua umri unaoruhusiwa kuwinda wanyama ?,hivi unajua wanyama wadogo hawruhusiwi kuwindwa ?,hivi unajua wanyama wenye mimba hawaruhusiwi kuwindwa ?.Au kwakuwa ni waarabu unaowaabudu ndio maana umetiwa upofu.

 
Majembe kama hawa wa Chadema Mwenyenzi Mungu awape maisha mrefu daima!

Bravo sana jembe Msigwa!
 
Duh lebara hivi wewe kweli mtanzania ?.Kosa la Msigwa nini ?,kosa la Nyalandu nini ?,kosa la Lembeli nini ?.Kumfukuza mwarabu unayemwabudu ha ha ha ha ha ha ha ha.

 
Last edited by a moderator:
Tayari ile kampuni iliyohusika imenyang'anywa vitalu vyao vya uwindaji kwa lile kosa walilofanya.

Unaamini Kampuni iliyokuwa inafanya hivyo ni hiyo moja tu?

Kama serikali ingetangaza kusimamisha shughuli zote za uwindaji, naamini tungejua mengi zaidi, Makampuni ya Utalii hivi karibuni yaliitaka Serikali isimamishe uwindaji mbugani kwa madai kama haya ya Mh. Msigwa na kusema kuwa Makampuni ya Uwindaji yanahatarisha biashara ya Utalii.

Kama serikali ni makini ingekaa vikao na Makampuni ya Utalii ili kujua sababu na kipi kinaendelea mbuga za Wanyama. Tungejua mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…