Mchungaji Msigwa ametoa picha za wawindaji kutoka kampuni ya mwana wa mfalme wa saudia wakikiuka kanuni na sheria za uwindaji.
Mchungaji amemwomba waziri kuwawajibisha wote waliohusika.
My take: Mch Msigwa alisema Kinana anaua tembo wetu, wakabisha, sasa na kawapa ushahidi kabisa, sidhani kama wataruka.
Msigwa big up!
Source: Star tv news!
mwandishi nadhani haikupaswa utumie neno 'ufisadi" kwakua video zilizoonyeshwa haziusiani na ufisadi maliasili lakini ungesema "mch.msigwa aibua mapungufu ya usimamizi wa uwindaji katika idara ya wanyamapori" maana maliasili ni wizara yenye idara nyingi
Kazi anayofanya msigwa si uzalendo bali ni rushwa alioipata toka kaumpuni kinzani tatizo la rushwa limenea sana miongoni mwa wabunge na waandishi wa habari.mungu iepushe nchii kwenye janga hili.
utawala huu wa ccm hauna tiba zaidi ya kuwaondoa madarakaniMchungaji Msigwa ametoa picha za wawindaji kutoka kampuni ya mwana wa mfalme wa saudia wakikiuka kanuni na sheria za uwindaji.
Mchungaji amemwomba waziri kuwawajibisha wote waliohusika.
My take: Mch Msigwa alisema Kinana anaua tembo wetu, wakabisha, sasa na kawapa ushahidi kabisa, sidhani kama wataruka.
Msigwa big up!
Source: Star tv news!
Kazi anayofanya msigwa si uzalendo bali ni rushwa alioipata toka kaumpuni kinzani tatizo la rushwa limenea sana miongoni mwa wabunge na waandishi wa habari.mungu iepushe nchii kwenye janga hili.
kwanza lazima tukubali sheria ya uwindaji ipo na haijaanza leo. na pili kama ni hao waarabu wapo siku nyingi. na suala kama hili pa kuanzia ni wizara husika. lakini kuna mitaahira mingine humu hata suala la mwenyekiti wa kitongoji, wakulaumiwa ni Kikwete. kwa nini nisimfananishe na kinyesi?Mkuu unaesoma uzi huu unahitaji ushahidi gani kuwa CCM Wamechanganyikiwa sasa kwa kukosa hoja kwa matusi haya angalia utakatwa kichwa
kwanza lazima tukubali sheria ya uwindaji ipo na haijaanza leo. na pili kama ni hao waarabu wapo siku nyingi. na suala kama hili pa kuanzia ni wizara husika. lakini kuna mitaahira mingine humu hata suala la mwenyekiti wa kitongoji, wakulaumiwa ni Kikwete. kwa nini nisimfananishe na kinyesi?Mkereketwa wa CCM usilie hivyo....fikiri kwanza kabla ya kuandika na ndiyo maana nilikuuliza vile una akili?
leo napita tu.Matusi ndiyo hoja yako!? Tumia kichwa kufikiri.Acha kufikiri kwa kutumia TUMBO.
nini maana ya division of labour? kuna umuhimu gani wakuwa na wizara? yaelekea uelewa wako ni mdogo sana.Duuuuuh!! Kwahiyo wizara iko juu ya Rais, waziri anaweza akajiamulia anavyotaka
utawala huu wa ccm hauna tiba zaidi ya kuwaondoa madarakani
Huna unachokijua we bawacha mambo ya kudandia watu bila hata kujua sheria za nchi zipoje hapa rais kikwete kaingiaje kwani yeye ni polisi au mahakama au ndiyo dj wenu alivyowafundisha hivyo.
Mchungaji Msigwa ametoa picha za wawindaji kutoka kampuni ya mwana wa mfalme wa saudia wakikiuka kanuni na sheria za uwindaji.
Mchungaji amemwomba waziri kuwawajibisha wote waliohusika.
My take: Mch Msigwa alisema Kinana anaua tembo wetu, wakabisha, sasa na kawapa ushahidi kabisa, sidhani kama wataruka.
Msigwa big up!
Source: Star tv news!
Nyie hata kama mtajikusanya wote kwenye ukoo wenu hamtafikia akili ya rais kikwete hilo lifahamu kwanza.
msigwa anatumiwa na NYALANDU , kama mnakumbuka NYALANDU amaeifutia kampuni hiyo kibali cha kuwinda kutokana na maslahi binafsi aliyonayo na wamarekani fulani, so anamtumia MSIGWA kuhalalisha hatua zake za kiwehu. NYALANDU, LEMBELI na MSIGWA wameunda utatu wa kishenzi na kifedhuli maliasili, MSIGWA ni kama condom na mla rushwa mkubwa, shame on him.
wengine kufikilia ziro. Unadhan kuiondoa ccm ndio suluisho.!!!
Uliye lipot kinana kaingiaje hapo afu hao nao waliokosea walikuwa nakibari.. Tushauri sheria ifate mkondo wake.