Mchungaji Msigwa: Tujikumbushe kidogo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,048
Reaction score
101,829
"Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala.

Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala.

Hii inathibitisha watu wanakuhitaji pale tu wanapofaidika na wewe, Changamka."
 

Attachments

  • 1752388517880.png
    1.3 MB · Views: 18

Hapo ndipo kajiharibia zaidi. Kwa jinsi Maza alivyo asahau kabisa.
 
calm down gentleman,
just focus on motion and let our mothers not be part of ongoing conversations especially when you are pointless, okey?
Sijui kama atakuwa amekuelea maana ma CHADEMA huwa hayana uwezo wa kuelewa lugha ya malkia maana mengi yalikimbia shule . Ndio maana yamejaa matusi utafikiri Vichaa au wendawazimu
 
Mbona hiyo picha ni kama zile wanazoweka kwenye makaburi mtu anapokufa.

Kwani kuna mtu kafariki?
 
Masikini Msigwa na shati lake jipya wala halina makunyanzi kama ya wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…