Mkuu, naona wewe umecomment baada tu ya kusimuliwa na wenzako hapo kinondoni kuwa kuna watu wanampinga msigwa wakati akitetea ukataji wa mitiKwa hivyo ni uongo siyo kweli kwamba miti inakatwa au unataka tu kupotosha, watu kama wewe nawatamkia laana msipouawa na Mungu mfe hata kwa mikono ya wanadamu.
hawa si midomo tuu kwani unadhani kuna chochote, alimradi ametoa arufu mdomoni
Huyu mchungaji na Lema Lao moja.
Mkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?
Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?
Una tarajia nini kutoka kwa mtu aliyekimbia shule na kuzamia Sauzi?
Kwi kwi kwiwiiwiiiiiii!!!!
Mkuu, ina maana Msigwa anataka watu wakatazwe kutumia kuni?
Hiyo ya hesabu siwezi kushangaa kwa sababu Msigwa na Bavicha ni kiwango sawa. Ila nataka kujua hoja yake ni nini, je, watu wakatazwe kutumia kuni?
nenda kwenye topic kwanza.usikurupuke na wewe.usipoteze lengo
Acha kuonyesha ujinga katika jambo dogo lama hilo. Ekari 800 ni sawa na hekta 323.7 hivyo katika kueleza kuna jambo la kuchanganya kaanza na kipi kati ya ekari na hekta ila msingi wa hoja yake haikuwa hivyo vipimo bali maudhui ya alichokisema. Ungejadili hilo watu wangekuona una la maana.Mkuu kumbuka kwamba hapa tunajadili kuboronga kwa msigwa. Hiyo ya uharibifu wa mazingira weka uzi wake na uupeleke kwenye jukwaa husika na tutakuunga mkono
mkuu kwanza naomba nipingane na wewe msigwa siyo mchungaji bali kajibandika tu huo uchungaji lakini siyo wake ni mtu wa kulaghai tu.
​Sijui nikuite nani?! Mjinga, kanjanja au pambafu!!!!Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.
Nijuavyo ni kuwa Ekari 300 ni sawa na Hekta 121.407. Kwa wale wataalam wa kukokotoa wanaweza wakatusaidia. Hii ni kutokana na ukweli kuwa Hekta moja ni sawa na Ekari 2.5. Hivyo kwa Ekari 300, haiwezi kuwa Hekta 800. Hata kama anaweza kujitetea kuwa alibadili hivyomvipimo bila ya kujijua, Hekta 300 haiwezi kuwa sawa na Ekari 800 bali ni sawa na Ekari 741. Kutokana na ufafanuzi huo, nimemdharau sana mchungaji Msigwa na napata shida kubaini uelewa wake.
Natoa angalizo kwa wanasiasa kutokurupuka kutoa hoja ambazo hawajui undani wake. Ni vema mchungaji Msigwa angeuliza kwanza ili apate ufafanuzi wa hivi vipimo vya Hekta na Ekari ili kukwepa aibu hii iliyomkuta.
Nawasilisha.
Una tarajia nini kutoka kwa mtu aliyekimbia shule na kuzamia Sauzi?
Ninatambua ni kwanini lizaboni unao ujasiri ni kwasababu hupendi kudadisi, ndo maana pia hutapenda kukosoa kwa hoja za kujenga:
kwa muda mrefu wazungu wameweka vipimo hv vya metriki kwa makosa na wewe unakubali
wanadai 1acre ni sawa 0.4047ambayo ni sawa na ekari 2.47 ktk hekta! hili ni kosa tena kosa kubwa japo limeidhinishwa katika vipimo vya kimataifa (SI units)
sikuhamishi kwenye hoja bali mimi mjinga napima uwezo wako wa kudadisi kile unachokisoma kilichoandikwa na wale unaowaamini duniani. UKWELI si kila ktk zebra cross unapita tu kama ni haki yako, lazima utazame hatari ya magari!
kwa mujibu wa kipimo chako
kama 1 ha = 10000sq m
na 1 ha pia ni sawa na 2.47 (2.5) acres!
kwa kuzingatia kwamba 1acre ni 4900 sq mt ........
hactare 1 italeta jumla ya 12103(12250) sq. mt na siyo 10000sq.mt
haya bado upo na wazungu wako ama unaacha kukariri vitu bila kudadisi?
Mwalimu Nyerere alisema Argue, Do not shout!
Maelezo yote hayo na kubwabwaja kote ni kwasababu tu amesema 800 badala ya 121? Aaaah hujaona suala la nishati na uchafuzi wa mazingira bali umeona amekosea namba za hekari. Idiot kabisa haya kapewe na wewe buku 7 yako,sorry kumbe siku hizi mnapewa 10.
​Sijui nikuite nani?! Mjinga, kanjanja au pambafu!!!!
Wadau, naangalia Bunge Live kupitia TBC1. Mchungaji msigwa ameuliza swali la kutaka mkakati wa serikali kukabiliana na uharibifu wa mazingira kutokana na wananchi wengi kutumia nishati ya kuni kama chanzo cha nishati ya kupikia. Mchungaji msigwa amesema kuwa kwa takwimu alizonazo ni kuwa Watanzania wanakata wastani wa Ekari 300 kwa siku sawa na Hekta 800. Kwangu nilipata shida sana kumuelewa na nikajiuliza kama kweli Mchungaji Msigwa anajua anachokisema au kuna mtu amemkaririsha.