Mchungaji Matsahi: Eneo alilopewa Ibrahim na Mungu lilikuwa linakaliwa na Waarabu wenye asili ya Ufala ambao walimuuzia Mashamba yao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Mchungaji Matsahi amesema Neno " fala" siyo Tusi bali linatokana na asili ( kabila) la Waarabu waliokuwa wakiishi eneo alilopewa Ibrahim na Mungu

Falah ni status ya Waarabu ambao hawakupenda kufanya Kazi na kushughulisha sana akili Zao zaidi ya kukaa na kutegemea kile walichonacho tu, amesema mchungaji

Waarabu hawa wa asili ya Mafala waliuza Mashamba yao yote kwa Ibrahim na uzao wake ambao walikuwa ni wachapa Kazi kweli kweli

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Waarabu hawa wa asili ya VoMafala waliuza Mashamba yao yote kwa Ibrahim na uzao wake ambao walikuwa ni wachapa Kazi kweli kweli

Nawatakia Dominica Njema 😄
Bora mafala kuliko mashoga wa kigalatia ,ambao wameruhusiwa na papa kuphiLana
 
Mchungaji Matsahi amesema Neno " fala" siyo Tusi bali linatokana na asili ( kabila) la Waarabu waliokuwa wakiishi eneo alilopewa Ibrahim na Mungu

Falah ni status ya Waarabu ambao hawakupenda kufanya Kazi na kushughulisha sana akili Zao zaidi ya kukaa na kutegemea kile walichonacho tu, amesema mchungaji

Waarabu hawa wa asili ya Mafala waliuza Mashamba yao yote kwa Ibrahim na uzao wake ambao walikuwa ni wachapa Kazi kweli kweli

Nawatakia Dominica Njema
Aione Faizafoxy kwenye faili!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji anahubiri hisia zake au Biblia
Maana Biblia inasema “mungu” alimpa Abraham ardhi takatifu,hakuna mahali inasema alinunua au aliuziwa
Israel hii siyo taifa la Mungu ni magaidi.
 
Mwanzo 23
15 Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, n'nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
16 Ibrahimu akakubali maneno ya Efroni. Ibrahimu akampimia Efroni ile fedha aliyotaja masikioni mwa wazawa wa Hethi, shekeli za fedha mia nne za namna inayotumika na wenye biashara.
17 Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango iliyokuwamo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa
18 kuwa mali yake Ibrahimu, mbele ya wazawa wa Hethi, mbele ya watu wote waingiao katika mlango wa mji wake.
19 Basi baada ya hayo Ibrahimu akamzika Sara mkewe katika pango ya shamba la Makpela kuelekea Mamre, ndiyo Hebroni, katika nchi ya Kanaani.
20 Na lile shamba, na pango iliyomo, iliyakinishwa kuwa mali yake Ibrahimu na wazawa wa Hethi, kuwa mahali pa kuzikia.
 
waliuziwa bei gani?

Labda babaako anaweza philwa kisa karuhusiwa na kiongozi wake.
Papa aliyewaruhusu watu kuphilana lambada ni papa wa madina mume wa muddy
Shenzy.
Huo ushoga umesambaa sana mwambao wa Pwani, Tanga, Kwa kina Mkojani na Mombasa kwa hapa TZ & Kenya.

Pia huko Dubai ndipo kuna yule Taahira aliyeharisha kwenye mdomo wa Ke wa Nigeria 2021 April.

Tofauti na Wazungu na Watu wengine duniani ni exposition tokana na sera zao za democracy huko USA & EU, mbali na hapo Binadamu wengine tumejaa unafki tupu.

Na sisi Me ndiyo Wapumbavu kuliko hata UPUMBAVU wenyewe, dume zima linajidai kukataa ushoga ilihali hilo hilo linafurahia na kuhalalisha kuwaingilia Ke kinyume na maumbile.
 
Hao wa Israel walijichanganya mno walivyofika nchi ya ahadi wangefanya kama walivyoagizwa haya yote yasingetokea...🤔🤔🤔
 
Labda babaako anaweza philwa kisa karuhusiwa na kiongozi wake.
Papa aliyewaruhusu watu kuphilana lambada ni papa wa madina mume wa muddy
Shenzy.
 
Attachments

  • Screenshot_20231003-230402.png
    Screenshot_20231003-230402.png
    65.3 KB · Views: 1
Mwanzo 23
15 Bwana wangu, unisikilize. Sehemu ya nchi, ambayo thamani yake ni shekeli za fedha mia nne, n'nini hii baina yako na yangu? Basi uzike maiti wako.
16 Ibrahimu akakubali maneno ya Efroni. Ibrahimu akampimia Efroni ile fedha aliyotaja masikioni mwa wazawa wa Hethi, shekeli za fedha mia nne za namna inayotumika na wenye biashara.
17 Basi shamba la Efroni lililokuwa katika Makpela kuelekea Mamre, shamba, na pango iliyokuwamo, na miti yote iliyokuwamo shambani, iliyokuwa katika mipaka yake pande zote, vyote viliyakinishwa
18 kuwa mali yake Ibrahimu, mbele ya wazawa wa Hethi, mbele ya watu wote waingiao katika mlango wa mji wake.
19 Basi baada ya hayo Ibrahimu akamzika Sara mkewe katika pango ya shamba la Makpela kuelekea Mamre, ndiyo Hebroni, katika nchi ya Kanaani.
20 Na lile shamba, na pango iliyomo, iliyakinishwa kuwa mali yake Ibrahimu na wazawa wa Hethi, kuwa mahali pa kuzikia.
shamba la ukubwa gani!?
 
Mbona mchungaji ana utani na kabila fulani?
Kabila hilo la pwani linafanana tabia zote za waarabu Mafala alizo sema Mastahi.
Wameuza jiji lote kwa wageni pesa wamekula na kuchezea vigodoro (ngoma).
CC: FaizaFoxy karibu tujionee mfanano watu.
 
Back
Top Bottom