Mchungaji Lucy Natasha apata mume raia wa India

Why Natasha&Carmel ...not Carmel&Natasha.. kimaono ya asili mwanaume ndio hujitwalia mwenza, je kwa hao manabii ipoje.. Natasha ndio alimtokea mwenziwe au jamaa aliimbisha..,au ndio tuaminishwe ni roho aliwaongoza towards each other?
napatwa maono ipo shida mahali na inabidi ikabiliwe kwa nguvu ya roho head on, ama sivyo wataachana tu..(naye asiye na mawaa atwae mawe anirushie).
Imani mchongo
 
Wimbo ulio Bora 3 :4

Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, nikamwona mpendwa wa nafsi; Nikamshika nisimuache tena, hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, chumbani kwake aliyenizaa.

Pastor Lucy Natasha alinukuu huo wimbo ulio bora mbele ya kusanyiko la wapendwa hivi majuzi kuthibitisha ulimwengu kwamba kampata mpendwa wa nafsi yake.

La kufurahisha zaidi huyo kipenzi wake ni nabii mwenye asili ya India, anaitwa prophet Stanley Carmel, huyo nabii inasemekana ana utajiri wa $1 million hivyo sio nabii mganga njaa kama wale manabii wa "jilipue" wanaotembeza vibakuli kwenye vituko vya mabasi wakitafuta huruma toka kwa abiria.

Binafsi nampongeza sana Rev Lucy Natasha kwa kuachana na maisha bila mume.

Chanzo:
Twitter View attachment 2028067View attachment 2028068View attachment 2028070View attachment 2028071View attachment 2028072View attachment 2028086
Mone goes to where .....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom