Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Congrats[emoji85]Bwana Yesu asifiwe!!! Poleni na majukumu wanajamiiforum wenzangu???
Ninayofuraha kuwashirikisha jambo jema la furaha na baraka.
Kwamba mm Mchungaji wenu ninatarajia kufunga mnamo tar 27--05--2017 jijini Dar.
Natarajia kufunga na mrembo Brightness Emmanuel.
Hivyo mkiwa kama ndg na marafiki wa karibu napenda kuwashirikisha baraka hii.
Hakuna mchango kamili,,,,,ila unaweza kuchangia kama baraka kwa kias chochote Mungu atakachokuwezesha.
[emoji432] Lakin kwa pia ambao bado hawajaoa/kuolewa unaweza kujiunganisha kwa kuchangia chochote ili nawe Mungu aweze kukufungulia mlango mapema wa kupata mwenza wako.
[emoji432] Ninaomba cku iyo wanaJf mjitokeze kwa wingi tufahamiane vzr. Bibi anatarajiwa kuvalishwa na mwanaJf dada Apologise lady.
Unaweza kutumia namba hizi kushiriki baraka hii::
Vodacom= 0757856336
Airtel = 0788599211
Tigo. = 0673100772
Halotel. = 0623328088
[emoji547] KARIBUNI SANA NA MUNGU AWABARIKI[emoji547]
Congrats[emoji85]
Mkuu hii ni serious au chit chat
Wengine ni watu wa shetani mkuu? Tengua kauli kwanzaMkuu iyo ni serious kabsaaa,,,,kama mnavyonifaham au kufahamika humu Jf,,,mm cnaga mzaha ni Mtu wa Mungu kwelikweli. Hiyo hata Apologise lady anaijua.
Karibuni sana
Kauli ipi mkuu??[emoji120]Wengine ni watu wa shetani mkuu? Tengua kauli kwanza
[emoji120] [emoji120] [emoji122] [emoji122] nawathamini,,,,,nawapenda,,,nawaheshimu.Mungu awe nanyi mkuu,
Pia shukrani kwa kutambua uwepo thamani yetu na uwepo wetu hapa JF,
Sitaki niwe mzungumzaji sana,
Zaidi,
Wishing you all the best mkuu.
Ya kusema mutu ya Mungu kweli kweli, sisi wengine?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Kauli ipi mkuu??[emoji120]
Na ww kama ni mtu wa Mungu,,,,,,unaweza tuu kujiita,,wala hakuna shida mkuu. Hiyo ni kwa wote. Ingawa ukienda ktk masuala ya kiroho ndipo kunaweza kuwa na utofauti.Ya kusema mutu ya Mungu kweli kweli, sisi wengine?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Nimekupata mkuu thanksNa ww kama ni mtu wa Mungu,,,,,,unaweza tuu kujiita,,wala hakuna shida mkuu. Hiyo ni kwa wote. Ingawa ukienda ktk masuala ya kiroho ndipo kunaweza kuwa na utofauti.
Barikiwa sana
Ok,,,,,,Ndoa itafungiwa ktk kanisa la """" Mlima wa Neema""""" Tegeta karibu na Kibo complex,,,,,,,,,,,,Hongera mkuu, lkn hujatueleza ndoa unafungia kanisa gani na saa ngapi. Kushuhudia ndoa ikifungwa inapendeza sana.
Vv
ha ha ha haaaaa...uzuri wa mkewe wautakia nn?..au kupindua nchi?Mkeo mzuri?!...sio nitoe mchango unaenda kuoa mzee
Jamaa anaoa mke mpaka mnaanza kujiuliza, hivi hajaona wanawake mitaani kote?? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkeo mzuri?!...sio nitoe mchango unaenda kuoa mzee