#COVID19 Mchungaji Gwajima ni wa kukamatwa na kufunguliwa kesi ya Uchochezi, Uhaini na Ugaidi

Zote za kupotoshwa zifutwe
Sasa hapo ndio penye utata kwa maana tunashindwa kuelewa kipi kinapotosha na kipi hakitakiwi watu kujua. Mfano hii video hapa inapotosha kipi? ila video zengine wamezifuta hivyo hata hii link muda wowote itakuwa haina issue maana wataifuta hiyo video.

Sasa niambie anachopotosha huyo Doctor ni kipi?
 
1. Ukipata chanjo unaweza kupata corona? = Ndiyo


2. Ukipata chanjo unaweza pia kufa kwa corona? = Ndiyo


SWALI:
Kwanini upate chanjo?
 
Uko sahihi kabisa, ila tatizo CCM na Serikali yake wanamuogopa sana huyu mropokaji na hawana ubavu wa kumfanya lolote.
Kwa hiyo unasupport watu kubambikiwa kesi? Hiyo picha ya Mbowe kwenye profile yako ni ya nini? Hujui hata unachokisimamia. Hizi ndio siasa za upepo fata bendera.
 
Mchungaji Gwajima anatakiwa ajibiwe kisayansi na sio kwa ubabe na vitisho. Hoja zake ni za msingi! Kwanini hizi chanjo zilipigwa ban US, EUROPE NA SA Then ndio tumeletewa sisi? Usalama wake ukoje? Au watz ndio tumekua Guinea pig?
Gwajima ajibiwe kwa Hoja za kisayansi.
 
Mbona hamkutaka RC mtaka afunguliwe kesi ya uchochezi kwa kwenda kinyume na maelekezo ya wizara?
 
m
mbona hata wazungu wenyewe wanaikataa hizo chanjo kwani nao wanashtakiwa kwa kumislead wananchi tena ni madaktari wabobezi iweje Gwajima?msipotoshe mambo mwacheni atoe maoni yake hata kama siyo daktari wa binadamu siku hizi ni utandawazi kila kitu kipo wazi.
 
Kwa hiyo unasupport watu kubambikiwa kesi? Hiyo picha ya Mbowe kwenye profile yako ni ya nini? Hujui hata unachokisimamia. Hizi ndio siasa za upepo fata bendera.
Huwezi kunielewa wewe nikaushie tu. Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana 'watu'.
 
Barabara zitachafuka kwa kinyesi
 
Dah! Hiyo aya ya pili kutoka mwisho mbona ya kibabe sana...

Watu wakidhurika kwa chanjo (wakichanjwa) akamatwe ashtakiwe na hata watu wakidhurika kwa corona (wasipochanjwa) akamatwe pia!
Sheria ya chanjo inadai:
“Endapo mtu atadhurika na chanjo hio basi serikali haitahusika wala kushitakiwa kwa swala hilo”
 
Askofu Rashid Gwajima ameishika CCM na Serikali yake pabaya wamebakia kubweka bweka tu lakini hawana cha kumfanya. Gwajima ana'watu'.
 
Shujaa Mwendazake wewe ni popyo, yombo yombo, kichwani mwako umejaza kinyesi badala ya ubongo. Gwajima alichosema na kutetea ndicho hicho tulimpongeza nacho Dkt Magufuli.
 
kweli kabisa kaesema viongozi waliochanja wamefeki hawajachanja, kwa hiyo hata Mh. Raisi wa nchi muongo ametudanganya akawataje hao watu waliochoma chanjo ya uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…