Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

Aisee kumbe wengine mmesoma kw kukariri,kwani akiwa na result slip si ni cheti pia?
Nyinyi mnawajua watumishi wote wanaosali kwa gwajima je kama wamempelekea ushahidi huo wa kuprint hata kama ni document sio cheti?pascally wewe nina wasi wasi utakuwa ni mhanga kama daudi bashite.

Result slip sio cheti. Tena ukisoma result slip imeandikwa hivyo-kuwa slip sio cheti. Pia hakujawahi kutolewa cheti kwa mtu aliyepata zero toka NECTA ianzishwe mwaka 1973.
 
Safari hii mliopewa hela mmsafishe Makonda mtaumbuka sana.
Gwajima huwa anapiga panapouma siku zote na aliyepigwa huwa haachi kuweweseka
GWAJIMA muongo mnafiki mfinishaji na tabia mbaya zote zake hauwez kumuamini huyu mtu na kama adhabu yake achomwe moto adharani kama umemfuatilia zamani je unakumbuka kile ambacho alitaka kusema lakin mwaka wa ngapi yupo kimya?
 
Pascal Mayalla,

Mkuu hii vita ni ya kuaibishana kati ya Dogojanja na MCHUNGAJI. Mchungaji anauchungu sana kuitwa M'BWIA SEMBE. Je hii hata ungekuwa wewe ungemuonea huruma Dogojanja?

So hebu tuwaachie wachapane mpaka tuone mshindi ni nani.

Tusijifanye tunamuonea huruma Dogo wakati labda anakosea au kumsifia Mchungaji kuwa yuko sawa lah hebu tukodowe macho na miskio tu tuone Movie itaishaje
 
Sasa mbona Lowassa na Maalim Seif wanaulilia sana urais? Kwa nini wasiwe wachungaji?

Uchungaji haujipachiki tu. Ni Mungu mwenyewe ndo anampa amtakaye kama ambavyo Bwana Yesu aliwateuwa mitume 12. Wenye uchungaji wa kujipachika wapo na hata kwa macho tu ya kawaida tunawaona ambavyo matendo yao yalikinzana na Neno la Mungu katika maisha yao ya kila siku.

Sasa kazi unayopata kwa kuteuliwa na Mungu mwenyewe unawezaje kuilinganisha na kazi unayopata kwa kuomba kura kwa watu tena sometimes hata kura zenyewe zinakuwa za kuiba.
 
Mtoa mada usisumbuke kwa maswali mengi....mshauri makonda atoke hadharani ndo suruhisho.Mwigulu aliwahi kutuhumiwa akatoka nje akaweka ukweli hata makonda anayo nafasi
 
kuna kupotezea pia
Uongozi huu kupotezea? Jana kuna mmoja kaagiza mtumishi awekwe ndani kwa saa 48 kisa kazimiwa simu.

Kwa hulka ya jamaa angekua kashatoa cheti, kama anacho basi atampeleka mtu mahakamani, ukiona kimya jua ni kweli yule ndugu siye yeye tuliyekua tukimdhania.
 
Back
Top Bottom