Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Kweli hata za zamani tulishaziona bado mnarusha, naamini mnampenda sana Mh. Makonda. Utafikiri nyie hamkulala mkiwa mnasoma


Hapa kazi tu
Duuuh kazi uliyojipachika ni ngumu sana aisee.... inabidi kujitoa ufahamu kabisa halafu ndo utetee
 
Like father like son baba kagushi PHD na mtoto kapewa mkoa wa watu wengi kumbe darasa la nne kafeli fisheries kafeli mbegani kafeli muccobs kafeli kilaza wa vilaza ambao hawajawai tokea eti ndio majaliwa na Magufuli wanamwita jembe ha ha kilaza
 
ccc sote tunao xhangilia hovyohvyo hatujui ukwel ni upi bali tuxubili game litakapo ixhia lakini huyo gwajima na yye alkuwa wapi kuyaongea hayo yote aache xwaga nayeye

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Kweli hata za zamani tulishaziona bado mnarusha, naamini mnampenda sana Mh. Makonda. Utafikiri nyie hamkulala mkiwa mnasoma


Hapa kazi tu
Hapo alikuwa kashamjua wa kumuuzia vyeti ndo maana hakuona haja ya kukaza msuli..
 
Hata mimi nilishaiona mara kadhaa sikuielewa, leo imetumwa imezungushiwa rangi nikaambiwa ni bashite.... Daaa mbavu zangu had saiv hazijaacha kuuma
 
Ndiyo maana alikuwa ana disco wenzake wanakata nyanga yeye kapiga mbonji. Ataacha kweli kutupia nyavuni kamba sita kati ya nane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…