Paul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .
BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.
aliapa jina la mwenzake...hahahahaha. acha vichekesho ndugu. anatakiwa kushitakiwa kwa kugushi au kujifanya mtu mwingine sawa tu na wanavyoshitakiwa wengine (forgery s. 333, 335 and 337, pamoja na s.100 penal code cap.16 R.E 2002). kama jamaa hatatumbuliwa, kesi za kughushi na vyeti bandia zinazoendelea mahakamani nchi nzima zifutwe.sheria inatakiwa isiangalie uso wa mtu.Hahahah maybe atakua aliapa mahakamani
laki si pesa kumbeweweni mchepuko wa Daudi? maana hata utetezi jinsi ulivyo uweka ni wa "kimapenzi mubashara"Paul Makonda alipata division two point 18 form four na chuoni ( muccobs) alipata upper second class hakuwahi kudisco alikuwa very bright .
BY: Wanafunzi waliosoma na Makonda chuo na secondary.
Hahahaha! Hasa uwe na kichwa kama cha DaudiKm huo mtihani walifanya wanafunzi wenye mahitaj maalum tu Hapo nitakubali
Ila kwa necta ya bongo unasoma swali hadi unajiuliza ulimkosea nini wazir wa elimu
Analipa gharama kwa aliyofanyia akina marehemi kabweKatika wakati mgumu kuliko wote alionao Makonda ni huu, hajui kesho yake kitatokea kipi.
Namhurumia sana! Itamsaidia akiamua kujiuzulu! Atabakiza heshima kiasi Fulani! Ni ngumu na inauma lakini ndiyo njia pekee!Katika wakati mgumu kuliko wote alionao Makonda ni huu, hajui kesho yake kitatokea kipi.
[emoji33] [emoji33] [emoji33]Hv Div 0 inacheti mbona cjamuelewa Gwajima
Mimi ameniudhi tu kumdhalikisha Manji wakati anashikilia ajira za watu 5000, kama kutumia kwanini wasimchukue Chid benzi?Analipa gharama kwa aliyofanyia akina marehemi kabwe