Ndugu,kipindi cha nyuma walikua wanatoa vyeti hadi kwa wale waliokua wanapata zero,uliza kwa wale waliomaliza zamani.Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Daudi atuoneshe cheti malumbano yaishe.Gwajima Anasema ana ushahidi wa Cheti cha Makonda cha Form four alichopata Zero! Hapa Mchungaji kasema Uongo. Necta hawatoi cheti kwa Wenye zero
Acha upuuzi wako nyie ndio nambari one wa kutetea maovu?hivi leo gii unataka kusahau operation ambayo inasababisha maelfu ya watu kutoajitiwa?kuhakiki vyetiInaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Somtym Mungu anakupa Ili uwe funzo kwa wengine,eidha funzo baya au zuri,sasa huyu mwenzetu ni funzo baya,viongozi wote watakaofuata tutawaambia msiwe kama bashiteMtaangaika sana aliyepewa kapewa katu binadamu hawezi kumpokonya.
Miaka gani hiyo hii ujinga muwadanganye wajinga mlionao huko CDMKipindi cha nyuma walikua wanapewa cheti hata wale waliokua wanapata zero.
daud bashite naona nyuki wa mwituni wanamshukia, na hivi ana harufu ya asali mwitu ataisoma namba.Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip inayosambaa kwa kasi mitandaoni.
Askofu Gwajima amedai anaoushahidi wa kutosha kua ndg. Makonda alitumia vyeti visivyo vyake.
Katika clip hiyo mchungaji Gwajima amesema ana vyeti vinavyotoa ushahidi kua Makonda alitumia vyeti vya mtu mwingine.
Swali: Je, Rais atamwacha Makonda na kulifumbia macho hilo suala?
Cheti cha kuzaliwa ni hela yako tu labda wabadilike utawala huu,,ilikuwa ukienda Rita na elfu 50 unapata cheti hapo hapo information's zote unatoa ww hawaverify popote..,besti Sasa jiulize hata cheti cha kuzaliwa jamaa kafoji na kupata passport Kwa jina la Makonda