Hii inaitwa “Kill Or Be Killed"....shida ya michezo mibaya ukiishamkosea step adui yako kidogo tu naye akapata chance yakukuchapa hutokaa uamini kitakachokutokea na ndo kinachomtokea Bashite.kama kweli Gwajima kayasema haya lazima atakuwa na hard evidence maana ni jambo zito.
Inaweza kuwa ni kweli lakini sioni mantiki kwa anayejiita mtumishi tena wa Mungu kuendeleza vita. Siku zote watumishi wa kweli humkabidhi Mungu vita vyao. Daudi akasema Mungu pigana na wanaopigana nami...zaburi 35:1b
Hamna shida, mkuu atamteuwa kuwa balozi wa Tanzania nchini marekani. Au atakuwa mwenyekiti wa bodi, au anaweza kuwa mshauri wa rais katika mambo ya viwanda.