The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
Nazungumzia hiyo iliyomteua na kumuapisha kwa jina la Paul Makonda.Kumbuka pia kabla ya uteuzi lazima vetting ifanyike ili kujiridhisha hivyo yote yalifanyika awali.
Vyeti ni mali ya mtu binafsi huwezi kumlazimisha avitoe hadharani bila ridha yake mpaka mamlaka husika iamue kukagua.
......Kwanini Pagan huwa unampinga sana mkuu wa mkoa?Kama hana ataonyesha nini? We unafikiri vyeti ni mavi kila mtu awe nayo?
......Kwanini Pagan huwa unampinga sana mkuu wa mkoa?
ni vema ukijikita kwenye mada mkuuMwaka mwingine wa bla bla... mpaka mvi ziote ndio utagundua unapoteza muda kupiga propaganda.
Unchangia mada ganiMwaka mwingine wa bla bla... mpaka mvi ziote ndio utagundua unapoteza muda kupiga propaganda.
Sasa wewe unataka akimbilie kanisani kumwaga machozi 😂😂😂😂 au wewe muuza unga maana yeye anadai wanaouliza cheti chake ni wauza sembeView attachment 987527
Makonda alituhumiwa kugushi vyeti kwa muda mrefu. Watumishi waliogushi vyeti walifukuzwa kazi na serikali yenye viwango vya uajibikaji.
Inashangaza mpaka leo jambo hili halikufanyiwa kazi na mamlaka zote ikiwepo rais. Suala hili sio la kupuuza kwa sababu lia adhari katika utendaji. Tunaona Makonda akiingiza nchi katika mgogoro mkubwa na western countries.
Je,vita ya ufisadi anayopigana Rais Magufuli ina macho?
Yaani mpaka leo hujajua kuwa nguvu ya ukabila ni kubwa kul8ko tuhuma au ukweli, jifunzeView attachment 987527
Makonda alituhumiwa kugushi vyeti kwa muda mrefu. Watumishi waliogushi vyeti walifukuzwa kazi na serikali yenye viwango vya uajibikaji.
Inashangaza mpaka leo jambo hili halikufanyiwa kazi na mamlaka zote ikiwepo rais. Suala hili sio la kupuuza kwa sababu lia adhari katika utendaji. Tunaona Makonda akiingiza nchi katika mgogoro mkubwa na western countries.
Je,vita ya ufisadi anayopigana Rais Magufuli ina macho?
Wanaishia kufungua uzi JF, wakiziona likes zinaongezeka basi wanajiona wamefanya jambo la maana sana.Uzuri wenu mnaishia kuongea tu.
Ni raha sana kutawala watu waoga.
Hahahahaha kibinda nkoyeBashite kweli ni zero brain hata akirudi shule hawezi kuokota kitu chochote. Nilishangaa kasoma chuo Cha biashara pale MUCCOBS lakini juzi juzi kashindwa kutofautisha kati ya CREDIT CARDS na DEBIT CARDS na amesoma chuo Cha biashara.
Yaani idea ya form two kwenye book keeping na commerce nayo inampiga chenga kazi yake ni kukikuza kibinda nkoye aka kishuntu.
AstaghafillulahTukimaliza ishu ya vyeti tufuatilie na zile taarifa zilizotolewa bungeni kuwa hana marinda
Sent using Jamii Forums mobile app