Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Fa fa fa fa zote.......yaani mtu anapata sifuri hadi kiswahili hadi bible knowledge?
 
Mzee wa kusaga na kukoboa anakwambia unapotaka kushindana na yeye inatakiwa ujipange kwa maana unashindana na Mungu.
 
Cjawah Kuona Mchungaj Wa Namna Hii Tangu Nizaliwe, Wala Cjawah Ona Waumini Km Wa Kanisalake, Hv Anaposimama Madhabahuni Neno La Jumapili Analo Hubiri Linakuaga Nini? Kwa Mtu Anaeijua Dini Vzr, Unaweza Kuhisi Makonda Ndo Askofu Af Gwajima Ndo Mtu Wa Kitaa. Kiujumla Cjaelewa Dini Anayohubiri Maana Hata Shekhe Aliemualika Cku Ile Kanisani Alimshaur Amsamehe Lkn Nao Kaishiwa Neno La Kuwaubiria Waumini Wake. Yeye Aliwah Kumtukana Pengo Akidai Et Alikua Anamkemea Km Mtumishi Wa Mungu, Sasa Ona Kuna Mchungaj Au Askof Yoyote Amesema Neno Kwenye Hili Sakata Lake? Hii Inaonyesha Viongoz Wenzake Wanampuuza Na Wana Mashaka Na Huduma Yake, Ndo Maana Akaamua Kumtafuta Shekhe Maana Maaskof Wenzie Wanamuangalia Tu Anavo Neng'eneka. Bible Inasema Mpende Adui Yako, Pia Muwaombee Wanao Waudhi, Muwabariki Msiwalaani. Ss Cjui Yeye Anatumia Bibilia Gani. Cdhan Km Kaitwa Na Mungu Kufanya Hyo Huduma, Ni Ujasiriamali Tu Na Umemsaidia Lkn. Bible Pia Imesema Mtawatambua Kwa Matendo Yao, Pia Atatenganisha Kati Kondoo Na Mbuzi.
 
n
NOT NEWS
 
Tuliza mshono wewe!!! Kima kasoro mkia!!
 
Tuliza mshono wewe!!! Kima kasoro mkia!!

Kanisa gani hili la visasi. Gwajima na Bashite wote wapiga dili. mchungaji, gani HUYU? Sikiliza wanaomuitikia na kusema apigwe, kama una akili hutamusikiliza mtu kama huyu. Kwanza kutowa number ya mtu hadharani si usitaarabu, ni uhuni na kukosa adabu. Hili sio kanisa bali ni vituko. Asikofu gani HUYU ni feki hana tofauti na Bashite. Language yake ni ya kusikitisha, anaharibu jina la dini. Simutetei Bashite lakini tabia za hawa watu wawili za fanana. Wote wanamajivuno, wote wana Mali bila ya kufanya kazi, za ujanjanja. Majivuno ni zambi mojawapo kubwa. Na kisasi haswa kwa mtu anayejiita Askofu na lugha anayotumia, HUYU sio Asikofu bali ni muhalifu. Pamoja na nchi kuwa na uhuru wa kuabudu, Watu kama Gwajima kanisa kama hili lisingesajiliwa. Huu ni wizi wa bila kutumia silaha.
 
Mchungaji fafanua vizuri pale alipojiunga kwa mara nyingine tena chuo cha Ushirika Moshi alitumia jina la Bashite au Paul Makonda kwa maana ni vigumu chuo kumpokea mwanafunzi mwenye ziro

wana JF someni kwa makini maelezo ya askofu yana walakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…