Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Very nice comment ever!
 
HABARI WANA JF
Naamini kila zama na kitabu chake na pia kila zama na nabii wake
haya yanayo endelea kuhusu Makonda yatapita na yata sahaurika na mbwe mbwe zake zote zitasahaulika ila
naomba tujiandae kisaikolojia itakaporudi suala la mihadarati na mbowe nalo litadumu kama hivi sijui ila msema kweli ni muda tu nao utafika
asante
napenda kutukanwa na watu wanaokuwa na mtazamo tofauti na mimi
 
Tuna liandaa la Mbowe
muda wowote tuna linukisha
Sisi tutakuja na ushahidi 100%,
chama gani kinaongozwa na ZERO!!
Hii ni aibu
 
Let me write in English, it seems you don't understand Swahili. there is a conflict of interest between you and your understandings
whether in English or any other language, I understand swahili or not, keep in mind am not writing to comfort anyone but am writing to express my idea
 
Watakaokutukana nitapambana nao.
Mtoto mzuri sana wewe!!!
Una midomo fulani amazing!!!!!
Achilia mbali line yako mahususi lakini tigo ndio unatoa zaidi.
 
Wewe ulioko bambabay mpakani uko utaanda kitu gani

Huyo magufuli mwenyewe wiki haikat bila kumpigia simu mbowe

Pambana na hali yako kwanza usijeaibika km makonda

Tuna liandaa la Mbowe
muda wowote tuna linukisha
Sisi tutakuja na ushahidi 100%,
chama gani kinaongozwa na ZERO!!
Hii ni aibu
 
hajajisalimisha na kutoa utetesi juu ya vyeti vya watu alivyobinafsisha.kwa hiyo suala lake halijafungwa.tunaendelea kuuliza vyeti ni vyake ?je jina ni lake ?
 
Jf naomba muwe mnahakikisha na utimamu wa akili wa hawa member. Sasa kama huyu kapost nini?
 
Kosa la Mbowe haliondoi kashfa ya RC. Kila mtu abebe msalaba wake.




KADA
 
Makonda amefoji vyeti lakini Mbowe anatumia vyeti vyake halisi! Huoni tofauti hapo?!
 
JE WAJUA KUWA FREEMAN AIKAEL MBOWE NDIE FIRIMON GASTURA WA IHUNGO SEC??
-----------------------------------------------------------------

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni!

JINA LA KUZALIWA:- Freeman Aikael Mbowe.

ELIMU:

SHULE YA MSINGI:- Lambo-Moshi (Jina-Freeman Aikael Mbowe).

SHULE YA SEKONDARI (I-IV) :- Kibaha Sec-Pwani (Jina-Freeman Aikael Mbowe).
- Inasemekana alihitimu Kidato cha Nne Mwaka 1979, akapata daraja la Nne (Failure).

SEKONDARI A'LEVEL:- Ihungo Sec-Bukoba.
JINA:- Firimon Gastura.
-Zingatia kwamba, Firimon Gastura alionekana akisoma Milambo Boys Kidato I-IV, wakati huo Freeman Aikael Mbowe akiwa Kibaha Sec.

N:B, Inasemekana kuwa Firimon Gastura hakumaliza masomo yake pale Ihungo kutokana na sababu mbalimbali (hazitaelezwa leo) lkn jambo kubwa ni kwamba baada ya muda Firimon Gastura alionekana Benk Kuu ya Tanzania (BOT) akiwa Bank Officer (mwajiliwa) wakati huo Gavana akiwa Mzee Mtei.

ZINGATIO:
Tunaendelea kujiridhisha na taarifa hizi kwa kutambua uhusiano kati ya Freeman Mbowe wa Kibaha Sec na Firimon Gastura wa Milambo Boys. Pia tunaendelea kujiridhisha ni kwa namna gani Freeman Mbowe aliajiliwa BOT kwa kutumia jina la Firimon Gastura ikiwa hakumaliza Masomo yake. Na ni kwa namna gani Mtu mmoja anaweza kutumia Majina mawili tofauti ktk elimu kwa ngazi tofauti.
Ukweli ni kwamba, taarifa za Elimu ya Freeman Mbowe zina mazonge mengi lkn pia jitihada za kufichika kwake ni kubwa zaidi.
Tunaomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa sahihi ili kuweka kumbukumbu sawa!
Baada ya ukamilisho huu tutaitoa CV ya Freeman Mbowe ama Firimom Gastura hadharani!
Unapoishi ktk Nyumba ya Vioo, jitenge na Vita za Mawe!
Kwa ushirikiano wa Magoiga SN-Mwanza.
MIMI,
[HASHTAG]#NinamuungaMkonoRaisWangu[/HASHTAG],
[HASHTAG]#NinapigaVitaMatumiziNaBiasharaYaMadawaYaKulevya[/HASHTAG]!
MenukaJr.
 
Watakaokutukana nitapambana nao.
Mtoto mzuri sana wewe!!!
Una midomo fulani amazing!!!!!
Achilia mbali line yako mahususi lakini tigo ndio unatoa zaidi.
KATIKA MAISHA NAAMINI MIMI NI NANI INAPOTOKEA MJINGA AKATUKANA NAHESHIMU SANA SABAU NDO UWEZO WAKE ULIPOFIKIA PIA NDO HISIA ZAKE KAWASILISHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…