Elimu ya university au college ni tofauti kabisa na elimu ya Form four au Six , Walio na wanao soma chuo wanajuwa hilo , nazani kama umefka elimu ya juu unalitambua hiloMnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
kama alinunua cheti cha form 4, anashindwaje kutoa rusha apewe maksi za bure chuo kikuu. wadada hutoa rushwa ya ngono, sijui yeye alitoa rushwa gani. msihoji kuhusu marinda😵. namba 17 & 18 ina ukakasi na huenda ndipo ambapo rushwa ilitumika mpaka akamliza chuo bila kikwazo.Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
Sikiliza ndugu kufeli mtihani haimaanishi hujui kitu kuna Sababu nyingi zinazochangia kufeli.Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Mnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
Vidudu pia hajasoma duhWewe inaonesha wazi hata la saba hujafika......Mods ondoeni huu ushuzi hapa
Na kale nako ni kanafiki sana kapumbavu dadeki zake.....kwahiyo akiomba radhi ndio atamsamehe au halafu yaishe hivi haoni kama huu msala ni jinai na si yeye atakayemaliza pumbavu yule.Wakuu nimeipata audio ya Askofu Gwajima akielezea kinaga ubaga juu ya elimu ya makonda na amemtaka aombe radhi ndani ya siku chache kabla chungu hakija chemkaaa,hakika huyu Makonda.. Mhh... Sijui
Na mashaka sana na elim yakoMnaotwambia Mh Makonda katumia cheti cha mtu cha kidato cha nne kusoma chuo Kikuu. Swali ni Je aliwezaje kupasua modules za University wakati huo masomo ya secondary alifeli? Au ndiyo kusema chuo Kikuu masomo ni rahisi kuliko kidato cha nne.
The Corservator
huyu Bashite ana matatizo. hajajigundua tu kama yeye ni kilaza? anataka kusoma masters😵Na Huyu bwana bashite ninavyosikia amesoma miaka sita. Hiyo degree ya miaka mitatu.. Na pia akadisco Tena alipotaka kufanya master mzumbe.
Albert BashiteJina kamili (full name) la baba yake mhe. Makonda ni lipi?