Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

Waliofukuzwa makazini serikalini kwa kufoji ama kutumia majina wa watu warudishwe kazini mara moja!
It seems the laws apply only for everybody else lakini kwa huyu JOKER Makonda sijui Bashite anapotezewa
Smh
 
Mkuu asingeweza kufuatilia walio na vyeti feki sababu yeye mwenyewe anacho hicho cheti feki Daud Albert Bashite
 
Jamaa manjonjo kibao, personality ya hali ya juu, na confidence ya kufa mtu unaweza kudhani ni bonge la profesa! Profesa la kututoa katika mkwamo wa 50+ years kutuvusha kuingia enzi mpya ya kiuchumi, kijamii, na kisayansi; yaaani next level yaani. Ha ha ha!
 
Povu la nini Bashite? Weka hata kivuli cha cheti au huna cha kujitetea?

Kama ni siasa zenu za hovyo hayo ndiyo matokeo yake. Itabidi tusahau vwonder
 

mkuu unauliza nini na hiyo youtube ni ya nini?

acheni madawa jamani
 
Hivyo ndo vilivyomsaidia kufika hapo alipo
 
Yani KILAZA atuongoze?Hapana huyo KIHIYO mtafutieni pa kwenda
 
Walikua wapi kumsema kabla?wasitusumbue aisee.Movie yao imeanza kutuchosha
Walikuwa kuwakagua vyet watumishi wengine kabla hawajawaajili. Kama anaonewa, watumishi waliofukuzwa makazini kwa sababu ya vyeti feki hawakuonewa[emoji19][emoji19][emoji19]
 
Povu la nini Bashite? Weka hata kivuli cha cheti au huna cha kujitetea?

Kama ni siasa zenu za hovyo hayo ndiyo matokeo yake. Itabidi tusahau vwonder
Endeleeni kupiga kelele
 
Makonda please come out clean. Ila vipi taasisi za mitihani zimekaa kimyaaaa. Ila Dr Magufuli najua ataguatilia
 
je kuhuzu dar kuburuza mkia kwa kuibuka na zile shule sita zilizong'ang'ania mkiani matokeo ya kidato cha nne 2016 yaliyotoka karibuni .hapa alisemaje ?
Wewe umeshaambiwa katika maisha ya shule ya msingi alifeli mara 2 mtihani wa darasa la nne na la 7 pia.Makonda hajawahi kuwa muhumini wa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…