Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

unayetegemaea amtumbue bashite yupo bize kumsifia uzuri mke wa mtangulizi wake...
 
Kudadeki na standard seven yangu nikikusanya machapisho yote kumhusu Bashite hasa JF natunukiwa PHD kwahiyo nakuwa na kibwagizo cha Dk Kimeloki
 
You are wrong! Jamaa ataandika (yeye mwenyewe?) barua ya kujiuzulu ili "kupisha uchunguzi". Ombi lake litakubaliwa kisha atashukuriwa kwa kazi nzuri na kujitoa kwake mhanga hata kuhatarisha maisha yake kupambana na biashara haramu na hatari. Mwisho atapewa pole kwa masaibu yaliyomkuta na kutakiwa mafanikio mema kwenye majukumu yake mengine. Zikazofuata zitakuwa figisu tu ila mchezo utakuwa umeishia hapo.
 
Makonda oyeeeee

Kiongozi anayependwa na wananchi wengi, kuanzia wa humu JF wanaopenda kumrembeshea issues huku wakijua hawalali bila kumuwaza.

Mleta mada kajitokeza na jina lake, nyie mnaopinga fanyeni hivyo pia. Naona ameandika kiujanja janja fulani eeeeh Makonda.
 


Duh si usahihishe kama vile unaona amejibu swali la mtihani na kumpatia maksi zake, ujipunguzie hasira.

Makonda oyeee
 
Kweli hiyo ni ndoto. Hivi ukipata Div 0 form four unapewa cheti?
 
Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
 
Uongozi haupo hivyo, sio kila unachosikia unakurupuka kutoa maamuzi. Uongozi mzuri ni lazima ujiridhishe kitakwimu na kivielelezo na ushahidi wa kutosha ndio utoe hukumu, hauwezi kutoa hukumu kwa kuangalia tu hisia za watu juu ya mtu fulani. Kama ikijiridhisha na kelele za humu itachukua hatua. Ila fahamu hatuwezi kumlazimisha mkuu aamue kama tunavyotaka ili atufurahishe
 
Riwaya ya kufunga mjadala? Au zoezi la uhakiki wa vyeti Nchini ni kwa wanyonge tu?
 
Matendo ya Mungu ni makuu na ya ajabu sana. Why? Mh Rais wakati wa kampeni alizunguka nchi nzima hii kuomba kura. Moja ya kauli aliyo iongea kwa dhati ya moyo wake ni hii, "msema kweli mpenzi wa Mungu" Wananchi wakanuamini wakamchagua na akawa Rais wa JMT.

Takribani mwaka mmoja na ushee haiingii akilini kuwa atakuwa kaisahau hii kauli. Ukweli kuhusu hili suala la vyeti vya ndugu yetu mkuu wa mkoa utajidhihiri tu hata iweje kama si leo basi kesho.

Wala haingia akili na haiwezekani kwa mtu mwenye dhamana ya urasi, mwenye hofu ya Mungu, anaye jihimiza yeye mwenyewe na wananchi wake kumtanguliza Mungu kwa kila jambo eti leo aje kupotezea suala la vyeti vya mmoja wa wateule wake linalo sambaa katika jamii kama moto wa nyasi kavu nyikani. Narudia haiwezekani na haingii akilini kwa walio na akili timamu.



Na washawasha!






 
Utaratibu wa kuchukua passport uko makini sana ndio maana unaambatana na viapo mahakamani, Affidavity za wazazi kukutambua, uhakika wa Uraia wako na mengine mengi. Hili suala la mtu aitwaye Daudi kuja kwenu na viapo na nyaraka za wazazi wake (maana wako hai) na kujiita Paulo kisha nyie mkampa Passport ya Taifa nijuavyo mie ni kosa kubwa sana la jinai na adhabu yake ni kifungo.
Adhabu hiyo sio kwa aliyepewa passport pekee bali hadi kwa wazazi walio toa taarifa za uongo na wadhamini ambao wanajua kuwa muombaji X sio yeye bali ni Y.
Kurudisha heshima ya Idara hiyo jee huyu Daudi na wazazi wake watachukuliwa hatua kwa kuidanganya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuipatia passport ya kusafiria kwa majina ya uongo?
Kazi mnayo, hilo jambo sio siasa ni uhalifu. Na ili watu wasiendelee na tabia hiyo lazima tetesi zilizopo muzifanyie kazi na kuweka hadharani jambo hilo.
Hili halimuhusu DAUDI pekee bali na WAZAZI na WADHAMINI wake. Fanyeni kazi yenu vinginevyo muache hata zile mbwembwe zenu sijui tumeshika wahamiaji haramu vijakazi na manamba mashambani au wachina wauza mahindi Kariakoo
 
Mkuu hao ndio wakubwa wenyewe. Jaribu wewe uone utakavyorukiwa kama mzoga mbele ya fisi
 
ngwajima huwa simuamini sijui kwanini . kabla ya yote aanze na stori ya Mbasha hapo nitamwelewa
Ya Mbasha inawahusu wao watatu. Lakini hii ya Kolomije inatuhusu Watz, kwanini wengine wahakikiwe vyeti name wengine waachwe?
 
Nataka kjua km jumapili hii ya tarehe 5-march 2017 Mchungaji Gwajima atakuwepo kwenye kanisa la ufufuo na uzima Mwenye habari za uhakika anijuze wajemeni nataka nikasikilizu neno
 
Nataka kjua km jumapili hii ya tarehe 5-march 2017 Mchungaji Gwajima atakuwepo kwenye kanisa la ufufuo na uzima Mwenye habari za uhakika anijuze wajemeni nataka nikasikilizu neno
Wewe ata kanisa haujui lilipo
 
Fede Masolwa ,yote uliyoandika haimfutii kosa la jinai la kutumia cheti cha mtu mwingine
Kuna watu wamefungwa na wengine kufukuzwa kazi kwa kosa hilo,je unadhani Bashite yupo juu ya sheria kwa kuwa tuu ametoka Kolomije jirani ya Chatto?
 
Ingekua tuhuma za uongo ninavyomjua bashite mtu wa media ungemuona tayari radio mawingu au TV mawingu akikanusha, kwani issue ya kukanusha vyeti si dk chache tu sasa yeye mbona anachukua mda mrefu? Au ndio wanamsaidia kutengeneza vingine, mimi ninavyo original ukitaka kuviona nitafute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…