Mchungaji anayeongea na Mungu kwa simu

Mchungaji anayeongea na Mungu kwa simu

Sasa watumishi wenyewe akili zipo Kwenye nyayo what do you expect?
 
Kuna watu wanamshangaa huyu mchungaji na kumuona wa ajabu ilhali wao wanamuabudu yule mshkaji msanii aliyeigiza filam flan inaitwa filam ya yesu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Nashukuru kuumbwa muislam.
 
Pana viumbe mishipa ya aibu imeisha nyongorota!huu ukauzu wa mchungaji ni wa PHD.
 
18581625_1247840645325032_3179892983909067753_n.jpg

Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayejulikana kama Sanyangore au "Pastor Talent" amekuwa akiongea na Mungu kupitia simu ya mkononi...

Mchungaji huyo anayeongoza kanisa la World International Ministries anadai ana namba ya simu ya Mungu na huwa wanawasiliana mara kwa mara...

Wakati wa ibada mchungaji huyo huwapa simu waumini wake wenye matatizo waongee na Mungu moja kwa moja....

Binafsi sina maoni yoyote maana hayo mambo ni ya kikubwa mimi bado ni mtoto
1f602.png
1f602.png
1f602.png
1f602.png

Zimbabwe kuna tatizo, mwingine juzi huko huko kaliwa na mamba alikuwa anatembea juu ya maji mtoni.
Kuna maajabu yapo duniani ila hayajatangazwa rasmi
 
Neno linasema "asiye fanya kaz na asile" sasa yeye yupo kazin anakula kutokana na hiyo kaz yake, pia tumeambiwa watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"
Usipo kuwa na maarifa ya kuchanganua vitu kama hivo utaishia pabaya paba
 
Mungu hahitaji simu ili aongee na mtu. Mbona watu mnapotoshwa kirahisi hivi. Roh.mtakatifu ndiye muwasilishaji wa maombi yetu kwa Mungu. Hizi habari waamini wale waliowachanga ambao hata hawaijui sauti ya Mungu.
 
Hizi ni Siku za mwisho, usishangae , hiyo jamaa ana wafuasi lukuki wasiojitambua.
 
Neno linasema "asiye fanya kaz na asile" sasa yeye yupo kazin anakula kutokana na hiyo kaz yake, pia tumeambiwa watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa"
Usipo kuwa na maarifa ya kuchanganua vitu kama hivo utaishia pabaya paba
Duuuh kweli bwana tumwache atafute ridhiki ndo kiki hizo
 
Back
Top Bottom