Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,173
Hebu fafanua unataka sema niniMtume wa mwisho ni Muhammad (saw)
Usiogope funguka
Hebu fafanua unataka sema niniMtume wa mwisho ni Muhammad (saw)
Siyo makanisa yote ni ya Yesu Kristo.
Kuna (Satanic Churches) makanisa ya shetani mengi tu, yanajulikana kwa matendo yake.
Yakiongoza na mababii wa uwongo wengi tu.
Yesu aliyaita Masinagogi ya Shetani.
Walio amini katika Kristo hawayashangai wameisha ambiwa na wanayafahamu.
Mtawajua kwa matendo yao.
Usimuite tapeli inawezekana Mungu anayemuamini yeye siyo unayemuamini wewe.
Maana unaweza bishana na mtu ukidhani anamuabudu Mungu unayemjua wewe kumbe yeye anamuabudu binadamu mwenzake kama yule mzee wa kenya aliyekuwa akijiita mungu
Uchumi ukiharibika huibuka mbinu mpya za kuishi![]()
Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayejulikana kama Sanyangore au "Pastor Talent" amekuwa akiongea na Mungu kupitia simu ya mkononi...
Mchungaji huyo anayeongoza kanisa la World International Ministries anadai ana namba ya simu ya Mungu na huwa wanawasiliana mara kwa mara...
Wakati wa ibada mchungaji huyo huwapa simu waumini wake wenye matatizo waongee na Mungu moja kwa moja....
Binafsi sina maoni yoyote maana hayo mambo ni ya kikubwa mimi bado ni mtoto![]()
![]()
![]()
![]()
Usidanganyike wapo sana sijui wanaita kisomo na wengi kupitia nyota, uganga fln kama akina maji marefu nkHizi mambo za ajabu ajabu tunazo sisi tu, wa Upande ule sijawahi sikia ndio maana yule bibi huwa anasema "wajinga ndio waliwao".
Muhammad ninanMtume wa mwisho ni Muhammad (saw)
Huyo tapeliHebu fafanua unataka sema nini
Usiogope funguka
Kwani lazima mungu anayewasiliana nae awe mungu unayemjua wewe?Huyo tapeli
Kule ukileta ya kichwani mwako bakora zitakuhusu sana kama si shingo yako!Hizi mambo za ajabu ajabu tunazo sisi tu, wa Upande ule sijawahi sikia ndio maana yule bibi huwa anasema "wajinga ndio waliwao".
![]()
Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayejulikana kama Sanyangore au "Pastor Talent" amekuwa akiongea na Mungu kupitia simu ya mkononi...
Mchungaji huyo anayeongoza kanisa la World International Ministries anadai ana namba ya simu ya Mungu na huwa wanawasiliana mara kwa mara...
Wakati wa ibada mchungaji huyo huwapa simu waumini wake wenye matatizo waongee na Mungu moja kwa moja....
Binafsi sina maoni yoyote maana hayo mambo ni ya kikubwa mimi bado ni mtoto![]()
![]()
![]()
![]()
Uislam tu ndiyo dini pekee yenye mashiko.