Mchungaji ananitaka, nifanyeje?

Wekeni unafiki pembeni kwenye uzi wake huu,kwa nini wote kasoro mimi,mliochangia mnakua wanafiki,
huyo sio mke wa mtu,hakuna mke bila ya ndoa,mwambieni ukweli huyo ni kimada wa mtu,hata pasta akiomba poa tu..
Na wewe usiwe mjinga,unajua maana ya ndoa!?? Usiseme hana ndoa. Huyu ana ndoa kamili lkn "Hajafunga ndoa" usichanganye kuwa na ndoa na kufunga ndoa,hivyo ni vitu viwili tofauti. Kanisani,msikitini au bomani huwa tunaenda kufunga ndoa. Yaani mnaenda kuifunga hiyo ndoa kisheria isivunjike. Kile Cheri cha ndoa unachopewa kanisani,ni mali ya serikali ndo maana unakilipia kwa sababu hata kanisa linanunua hivyo vyeti. Huwezi kufunga ndoa bila kuwa ndoa. Ndoa ni makubaliano ya watu wawili waliokubaliana kuishi pamoja. Hiyo ndiyo ndoa. Hakuna baraka yoyote unayopata ktk kufunga ndoa,ila unakuwa umeifanya hiyo ndoa yenu iwe ya kisheria. Yaani hata mwenzio akikuchoka aogope kile cheti.
 
Oya WANAUME tutafute pesa aisseh.
Cheki kisa mil 2 mke analiwa na pastor tena inawezekana pasta akapiga kavu bila hata ndom..
Mme angekuwa na hio mil 2 ya mtaji yote haya yasingetokea
 
Mpe tu kama dhamana ya mkopo!
 
Mpe tu mkuu we hupendi kupanda cheo uwe mama mchungaji sadaka mtakua mnakula wote hzo ndo fursa zenyewe,sio baadae mnakuja kulialia shida wakati fursa mnazkmbia wenyewe.
 
Pasta fundi sana , maana hiki kiunzi huyu dada hachomoki.
Wanawake huwa mnapenda kujitengenezea mazingira ya kutongozwa na kuliwa.
Kwa hali hii, mke wangu, mama Byembaliwa, inabidi nimshikirie sana maana hanaga shobo dundo kabisa.
 
Mpe
Kwani wewe si kondoo wake
Wewe unafikiri mchungaji akiwa na hamu ya nyama anunue tena nyama nyingine wakati kondoo mpo kwenye boma lake
 
Sawa nimekuelewa ila mm nilimwomba anikopeshe tu kama anayo nikaona amekubali sasa ndio yakaanza na mengien
Acha kuwa mnyimi,,wewe mpe tu ,kwanza ukimtengea vizuri hata deni atalisahau
 

Yani apa sijaainisha vizr yeye nimesoma nae ni mkatoliki baada yakumaliza school alienda kusomeea ubrother na kisha kuusomea uuupadri kwasasa bado ata ajagraduet yupo nje.Ndipo nime mwomba anisaidie ila mwenzangu anaongelea mapenzi mxuuu.apa natafuta jinsi yakumpanga maana anamoto huyo.simpi papuchii yng nikishindwa kupata nnachotaka basi imeeisha iyo
 
Kwahiyo angekua sio mtumishi wa Mungu ungemwachia iko kitobo?
 
Nimesoma nae na mm nimemwomba mkopo tena sio kwakumlazimisha kakubali ila kwamasharti
Kwani yeye kakulazimisha umpe penzi?

Acha utoto, to penzi upewe pesa. Kama huwezi kaa na mumeo utulie. Usipende vya bure!
 
Njia pekee achana na hiyo 2m vinginevyo panua mapaja mjini hakuna cha bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…