Mchungaji aliyekuwa CHADEMA ajiunga cuf muda huu

Hongera zako Mchungaji kwa kuhamia CUF,naona unafanya research kwa ajili ya andiko la PHD yako ya "Uhusiano kati ya Vyama vya Siasa na Dini" (CUF visit Uislamu)Hapo sasa ndio penyewe umefika......utakamilisha ndoto yako ya PHD.
 
mtu anapoingia chama fulani haingii kama mchungaji, sheikh au askofu kwa sababu haendi kuhubiri. suala la kujiunga na vyama ni la kila siku kwa watu wa kada tofaut itofauti, walimu. madaktari n.k.
 
Sasa naona ile sababu ya kumfukuza arfi na lile babu zee likasema eti wakimuandaa awe mwenyekiti wa CDM ,yaani Chama Cha Ukoo kimeshitukiwa !
 
Safi mpiganaji wa ukweli. Ungana na wazee wangangari tusongeshe gurudumu la demokrasia ya kweli.
 
Hongera zako Mchungaji kwa kuhamia CUF,naona unafanya research kwa ajili ya andiko la PHD yako ya "Uhusiano kati ya Vyama vya Siasa na Dini" (CUF visit Uislamu)Hapo sasa ndio penyewe umefika......utakamilisha ndoto yako ya PHD.

Duh!? We msambaa unawadhihirishia umma kuwa cdm ni waggala tia.
 
Huyo ni mchungaji namjua,anaongoza kanisa moja mtaa wa Ginery karibu na chuo cha ualimu Singida.
 
Tunamtakia mema huko alikokwenda

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hongera zako Mchungaji kwa kuhamia CUF,naona unafanya research kwa ajili ya andiko la PHD yako ya "Uhusiano kati ya Vyama vya Siasa na Dini" (CUF visit Uislamu)Hapo sasa ndio penyewe umefika......utakamilisha ndoto yako ya PHD.

Malizia kunywa maji baridi maana tayari umeshajifariji na kama tanesco wamekata umeme jipepee na gazeti
 
mbona kama ni mkutano wa wanaukoo? Picha hii inanikumbusha mkutano wa Kisandu kule Kahama.
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!
Mi huwa naamini kwamba hili kundi la akina Rejao na wengine wanaojifanya ni wanasiasa wa Ccm sio kweli kwamba ni wanasiasa hawa ni waumini wa imani kali ambao wamejikusanya kufanya kazi dhidi ya Chadema kwa imani kuwa Chadema imeipindua Cuf ambayo wao wanamini ndicho chama kinachobeba maslahi yao ya kidini.
 
Hongera sana mchungaji kwa kukimbia kutoka kwenye chama cha wachungaji wenzako. Ila umeteleza kidogo tu, ingetakiwa urudi nyumbani CCM. Karibu sana kwetu!!

Dogo bado upo mi nilijua ulisha kufa njaa kwa buku 7
 
Back
Top Bottom