Makebo o hydroxo Ertugrul BeyLimpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji.
Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia, akidai kuwa kitendo hicho ni sehemu ya kuonyesha “nguvu za Mungu” na kwamba baadhi ya waumini huponywa baada ya kupata huduma hiyo.
Ripoti zinaeleza kuwa baadhi ya wafuasi wake husubiri kwa miezi kadhaa ili kupata nafasi ya huduma hiyo.
Kwa upande mwingine, jambo hilo limezua mjadala mkubwa mitandaoni, huku baadhi ya watu wakijiuliza kama kweli kujambiana kanisani kumefikia hatua ya kuwa huduma ya uponyaji.
Ndio maana wagalatia tunabezwa, kudharauliwa na kuchekwa japo dini yetu ndio ya kweli. Cha kuhuzunisha wafuasi wa dini ya kusadikika na mungu wa kusadikika wana nidhamu na heshima ya hali ya juu kwenye ibada zao japo hizo sala zao zinaishia hewani.Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji.
Inadaiwa kuwa wakati wa ibada hiyo, mchungaji hukaa juu ya uso wa muumini na kumjambia, akidai kuwa kitendo hicho ni sehemu ya kuonyesha “nguvu za Mungu” na kwamba baadhi ya waumini huponywa baada ya kupata huduma hiyo.
Ripoti zinaeleza kuwa baadhi ya wafuasi wake husubiri kwa miezi kadhaa ili kupata nafasi ya huduma hiyo.
Kwa upande mwingine, jambo hilo limezua mjadala mkubwa mitandaoni, huku baadhi ya watu wakijiuliza kama kweli kujambiana kanisani kumefikia hatua ya kuwa huduma ya uponyaji.
Ukijaa kwenye mfumo na kupupu wana pupu tu BwasheeWamekubali kujambiwa na mtumishi wapate upakoo
Dah! huyu pastor ni noma.Huyo pastor yeye anakuwa amekula nini hadi awe na mashuzi muda wote? Au ana majini ndio yanajamba?
Kaazi kwelikweli!
Hahahahaaaa upako juu ya upako!Atawanyea kabisa maana baadhi ya watu hawajielewi ni mwendo wa kutapeliwa
Ujinga huu ukifanywa na wakristo nashangaa sana, inakuwaje wasomi wanakuwa wajinga hivi?Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta uponyaji.