Mchungaji abaka

Mchungaji abaka

Tetra

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
1,526
Reaction score
771
Wachungaji wa madhehebu mbalimbali,walikuwa kwenye semina ya maadili na mambo ya kiroho.
Alipita muuza magazeti ya siku hiyo,,kuna gazeti liliandikwa kwa kichwa kikubwa cha habari MCHUNGAJI ABAKA,,kila mchungaji akanunua huku wengne wakilaumu "Dunia imeisha","Huyu atasimamishwa"n.k Kila mchungaji aliona aibu kulisoma mbele za watu.
Walipofika majumban kila mmoja alifungua ukurasa ilipo habari kwa kina,,ndipo walikuta mchungaji anaeongelewa si wa Kanisa ila ni MCHUNGAJI WA NG'OMBE.
 
ina maana kila mmoja alikuwa anajihisi au alikuwa anahisi ni mchingaji wa kanisa lao.
duh!!! hilp balaa.
 
mkuu unafanya kazi kiu au ijumaa au risasi
 
Back
Top Bottom