lucriss
Member
- Oct 21, 2013
- 11
- 7
Wachungaji wa madhehebu mbalimbali,walikuwa kwenye semina ya maadili na mambo ya kiroho.
Alipita muuza magazeti ya siku hiyo,,kuna gazeti liliandikwa kwa kichwa kikubwa cha habari MCHUNGAJI ABAKA,,kila mchungaji akanunua huku wengne wakilaumu "Dunia imeisha","Huyu atasimamishwa"n.k Kila mchungaji aliona aibu kulisoma mbele za watu.
Walipofika majumban kila mmoja alifungua ukurasa ilipo habari kwa kina,,ndipo walikuta mchungaji anaeongelewa si wa Kanisa ila ni MCHUNGAJI WA NG'OMBE.
haya magazeti ya udaku haya