savo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 293
- 233
Jana nimmesikia kaka anasema baba nimepata mchumba ila uko mtaa wa pili sio mbali na nyumbani, Basi baba akamjibu bro hongera mtoto wangu ehe! Yukoje ila una madirisha makubwa na mlango mkubwa.
[HASHTAG]#mzee[/HASHTAG] mwanangu hauko serious mi nkajua mkwe duh! hii nona kweli
[HASHTAG]#mzee[/HASHTAG] mwanangu hauko serious mi nkajua mkwe duh! hii nona kweli