Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

Mchumba wangu na mke wa mtu wamenitenda

Achana nae Fanya yako mwaya, Mungu atakuletea mwingine hutoamini...
 
Ila mapenzi haya hayana utabiri

Hata hivyo kuna mambo ukisoma katikati ya mistari utaona kuwa kuna jambo linakuja...lol!

Kwa mfano, kama mtu umeshamalizana naye, kwa nini abaki kichwani mwako??

Umeliona hilo BADILI TABIA??
 
Last edited by a moderator:
jionee huruma wewe kwanza kwa kupoteza muda wako,kutukanwa na kudhalilishwa! unamuoneaje huruma MTU ambae hakuonei hata chembe ya huruma?!
 
Mblock huyo mdada.........afu njoo nikupe Joseph Wang akuliwaze

Halafu nawewe unatuzinguaga na huyo joseph,na tunajua hamna kitu hapo ila kazi yako ni kutunyima tu wanaume fursa. Acha hiyo tabia.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana
Cha muhimu ni kujitahidi kuwasahau kwa kuondoa aina yeyote ya mawasiliano na wao ili ikusaidie kusahau na kupunguza mawazo
 
Kama wamemwaga mboga wewe mwaga ugali.... Yanini uteseke peke yako ... Hebu kinukishe fasta kwa huyo mume kama unaogopa niambie nikusaidie

USILIPIZE KISASI kama mungu angekuwa analipiza nyuso zetu tungeweka wap???
 
ndo tatizo lenu mabinti kutoa penzi kabla ya ndoa ushakuwa used haumfai tena.Naomba muendelee kusalitiwa wote wenye tabia hii
 
wavizie wakiondomola ndo utajua kw nn anamchanganya kimahaba n ww uige
 
Aisee upogo we bibie? Nilimiss sana ushauri wako uliokaa kimtindo wa "u scratch my back I scratch yours and you screw with me I screw you back" 🙂

Hope kwema huko uliko.

Nipo wangu, nagangamana na maisha. Siku hizi mostly mimi ni msomaji vs. mchangiaji. Hope all is good with you as well!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom