Mchumba wangu kaning,ata,

Mchumba wangu kaning,ata,

Mbona sioni uhusiano wa kichwa ch habari na ulichojadili
 
Kesho yake yaani Leo jumatatu nampigia cm hana cha kunambia sasa nifanyeje wakuu na binti nilikua nampenda sana hadi sasa nampenda ila kanionyesha tabia mbaya nakua na mashaka Wenda badae akawa si mtu mzuli kwangu
Yaani halo bado unauliza ufanyeje MKUU?
 
Daaah kama sijaelewa vile mkuu, by the way mbona umri wa kwenye hii thread na kwenye profile yako kuna kama discrepancy fulani hivi mkuu?
 
Back
Top Bottom